TANZIA Njombe: Anthony Mwandulami Afariki Dunia. Alijijengea kaburi la mamilioni ya shilingi

Vipi Annanuk lini wanakuja chukua madini uliyowachimbia?
aaagh walisha yabeba na kusepa wametuachia mapango na Pyramids tu hapa Dunia pia walituachia ustaarabu angalau utusaidie ila balaa lao wakaanza abudiwa Kama miungu na waazetc wa mexico bwana wale jamaa walikua wanatoa kafara wenzeo Ili annunak warudi bwasheee isingekua Hernan Cortez kutoka Hispania kuwaconquer na kupeleka ukristo mbaka Leo wangekua wanakula nyama za watu
😜😜😜😜
 
Jaman Wale wasukuma watatibiwa vichaa vya kutupiwa na nani?
Dah mwandulami ananidai 80 000 ya dawa na ndo kavuta
kalipe deni wewe Hela ya mhenga hailiwi hivihivi shauri zako kumbuka kafa yeye ila wakulungwa Bado wapo kilingeni
Baadae ya msiba watawataja wadaiwa na wanaomdai mwendazake Mwandulami
Hapo ndio utaona joto la jiwe ukijifanya kulikaushia deni shauri zako!
😜😜😜😜
 
Ila Billion 1, hapa tumefungwa kamba,
Hata robo ya hio pesa hapo siioni,
Video inaonesha mpk ndani, hakuna cha ajabu.
Acha ubishi kijana kitu Kama hujui uliza hebu mtag Mshana Jr akuelekeze mavitu buana hiyo Hela aliyotaja sio kwamba ni gharama ya kaburi kitaratibu za kiganga usikute anazikwa na vitu vya Bei mbaya au hujui tunguli zake ni za Bei ghali mbaka akawa Dr ?
Kwahiyo usikute anazikwa na vile vitu vya dark art vyenye thamani ya mamillion mkuu

Nadanganya wataaluma wa hapo Gambosh?
 
Waganga wengi wa jadi ni matapeli, huwezi kuwa mganga wa jadi na ukawa bilionea, huo ubilionea kwa malipo gani kama sio kuwatapeli na kuwatisha watu kwa uongo wao?
 
Hilo ndo Kaburi la Bilion 1? Wabongo huwa wana chumvi sana. Sijui kwa nini wanapenda kuandika kidaku daku.
 
aaagh walisha yabeba na kusepa wametuachia mapango na Pyramids tu hapa Dunia pia walituachia ustaarabu angalau utusaidie ila balaa lao wakaanza abudiwa Kama miungu na waazetc wa mexico bwana wale jamaa walikua wanatoa kafara wenzeo Ili annunak warudi bwasheee isingekua Hernan Cortez kutoka Hispania kuwaconquer na kupeleka ukristo mbaka Leo wangekua wanakula nyama za watu
😜😜😜😜
Mbona siku hizi hawaji au madini yameisha? Bro uliongea pumba mbaya sana hadi niliona aibu mimi.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom