Njiwa Mweupe

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,739
155,436
Njiwa mweupe anatumiwa kwenye alama mbali mbali.
Wakristo wanatumia njia mweupe kama alama ya Roho Mtakatifu, ldara ya usalama wa Taifa alama yao ni njiwa mweupe, na pia waganga wa kienyeji wanataka njiwa mweupe.
Je kwanini atakiwe njiwa mweupe tu na si wa rangi nyingine?
Nini siri ya njiwa mweupe?
 
wakti wa jahazi ya Nabii Nuuuh a.s baada ya mafuriko alitumwa kunguru akaangalie hali ya nchi alichelewesha taarifa.
Hivyo alitumwa Njiwa kuangalia hali yanchi na aliwahi kurejea na taarifa sahihi.
Ni mchango wangu kdg.
 
Njiwa mweupe anatumiwa kwenye alama mbali mbali.
Wakristo wanatumia njia mweupe kama alama ya Roho Mtakatifu, ldara ya usalama wa Taifa alama yao ni njiwa mweupe, na pia waganga wa kienyeji wanataka njiwa mweupe.
Je kwanini atakiwe njiwa mweupe tu na si wa rangi nyingine?
Nini siri ya njiwa mweupe?

hivi wewe bujii hujui kama rangi nyeusi ni nuksi na mkosi mkubwa sana na ndio maana watu wanajichubua kutoa nuksi!!
 
Njiwa ni werevu, pia wanafundishika tofauti na ndege wengi wengine.
 
Vp Bujibuji

naona ndo umetoka kwa Mganga leo

We ukitaka kuondoa nuksi kabisa mpelekee Mbayuwayu mweupe
 
Vp Bujibuji

naona ndo umetoka kwa Mganga leo

We ukitaka kuondoa nuksi kabisa mpelekee Mbayuwayu mweupe
Nasafisha kijinyota changu. Maana pamoja na kuishi jirani na mitambo ya IPTL sijapata hata Mia!!! Lazima nyota yangu itakuwa imemwagiwA oil chafu
 
Back
Top Bottom