Njiwa amfariji mgonjwa aliyetelekezwa...

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,372
Inasemekana mgonjwa huyu alilazwa hospitalini hapo kwa siku tatu bila ndugu yoyote kuja kumjulia hali,lakini Njiwa huyu amekuwa akija kumfariji kwa siku zote hizo tatu

Baadae ilikuja kugundulika kwamba huyu Bwana alielazwa amekuwa na tabia ya kumlisha huyu Njiwa alipokuwa kwenye maeneo ya kupumzikia(city benches).

Hakika matendo mema yananalipa..Mungu anaweza kukutumia mfariji kwa namna usiyoitegemea.

Tuendelee kutenda mema...

IMG_20200926_172512.jpg
IMG_20200926_173458.jpg
 
Inasemekana mgonjwa huyu alilazwa hospitalini hapo kwa siku tatu bila ndugu yoyote kuja kumjulia hali,lakini Njiwa huyu amekuwa akija kumfariji kwa siku zote hizo tatu

Baadae ilikuja kugundulika kwamba huyu Bwana alielazwa amekuwa na tabia ya kumlisha huyu Njiwa alipokuwa kwenye maeneo ya kupumzikia(city benches).

Hakika matendo mema yananalipa..Mungu anaweza kukutumia mfariji kwa namna usiyoitegemea.

Tuendelee kutenda mema...

View attachment 1581637View attachment 1581638
Amen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom