Njia Zipi za kupitia kufungua Chama cha kijamii cha Kibiashara [Kama Saccos]

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,674
Naomba kujua ni njia zipi mtu anaweza kupitia kufungua chama ambacho wanachama wake ni umoja wa watu ambao walikuwa shuleni pamoja oldschool timers lakini leo watu wazima lakini leo hii wanataka kufungu umoja utakaokuwa wa kusaidiana na if possible kuweza kuwa na shughuri za kufanya katika kujiingizia kipato kwa kufanya biashara na kukopeshana kupitia mfuko.

Naomba kujua wadau
 
Back
Top Bottom