Konki kichaa
Senior Member
- May 18, 2018
- 103
- 72
Wakuu habari
Kwanza napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwenu kwa kushare different ideas bila kinyongo, nasi tunapitia mawazo,changamoto kuhakikisha tunafanya vzur zaidi
Binafsi hua nashughulika sana na kulima japo sio shamba kubwa sana ni wastani wa heka 7 tu huu mwaka ni wa pili nimeanza kulima mwaka jui nililima maharage ya njano na msimu huu nililima Mahindi na tayali nimeshavuna
Katika kulima kwangu naweza sema nalima kienyeji kwa maana nalima bila kujua mambo ya Soko la mazao ninayolima yaani nasubili msimu kisha nalima bila kujipanga kua mazao hayo nitaenda kuuzia wapi na nitamuuzia nani? Naweza kusema sio Mimi pekee ila asilimia kubwa ya wakulima hapa nchini tupo hivyo
Katika kulima kwangu maharage niliuza kwa walanguzi kwa bei ya chini kabisa na kwa hasara kabisa kwakua nilishindwa kupata soko.
Lakini mwaka huu Nina gunia 80@120kgs za Mahindi hadi sasa zipo gharani na bado sijajua soko litakuaje
Hili tatizo sio kwamba Mimi peke yangu Bali ni kwa wakulima wengi
Sasa naomba tusaidiaje kujua
1: Njia nzuri ya kuuza mazao wakulima wadogo ni ipi ambayo ina tija?
2: Nimesikia kuna kitu kinaitwa kuuza mazao kwa stakabadhi gharani
Hii ikoje?
Ina faida zipi?
Vigezo vikoje?
Mikoa gan imelengwa haswa?
Mimi napatikana songea huku wakulima tunanyonywa na walanguzi serikali imesinzia huku
Karibuni kwa mchango wenu
Asanteni