Njia za uhakika za kufanya biashara mtandaoni ili kuongeza kipato

Ipo playstore mkuu kuna maelezo yote kwenye program ipo kwa kiswahili na kiingereza.ni program unajibu maswali pamos na kupiga picha watazokwambia upige.maswali bei yake ni kuanzia tzsh60 hadi 15000. Inategemeana wamekwambia ufanye nn
mkuu

mkuu ungechambua kidogo wengine hata hatujui kabisa hii mivitu na mabando yanaisha tu
 
saw mkuu shukrani
Ipo playstore mkuu kuna maelezo yote kwenye program ipo kwa kiswahili na kiingereza.ni program unajibu maswali pamos na kupiga picha watazokwambia upige.maswali bei yake ni kuanzia tzsh60 hadi 15000. Inategemeana wamekwambia ufanye nn
 
Matapeli ni wengi wanataka utume pesa kwanza ndo wakupe tenda, pumba.vu zao.
Freelancer in amatapeli wengi na nimeliongelea kwenye post hilo na jinsi ya kuepuka. Kwanza ukianza kubid ni vizuri bid client ambaye ana reputation ana stars, amefanya deposit ya pesa na pili huhitajiki kutoa ela kupata kazi yeye ndiye kabla ya kukupa kazi anatakiwa awe ametengeneza milestone maana yake ni kwamba kaweka ile ela mliyokubariana escrow account ambayo wewe huwezi itoa naye hawezi itoa ila ana uwezo wa kusema waiachie ije kwako ukimaliza kazi
 
Not

Noted
 
Unafunguaje escrow account mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana hata ni simple sna ilinichukua dakika 10 kujua jinsi ya kufanya subtitles yani ni simple sana tumia aegsub ni simple kweli ila kuna wengine wao ni wamarekani wanafanya kwa kiswahili na wana software yao wanataka utumie hiyo inaitwa transcribe
Mkuu hebu ielezee vizuri. Namaanisha utupatie darasa kabisa, ya kile chote unachokifahamu kuhusu freelancing. Binafsi nime- bid kazi nyingi lakini sjafanikiwa, japo sijakata na sitakata tamaa. Ila nahisi uzoefu pia ni tatizo kwangu, yaani nikisoma Cv's za watu tunao-compete the sama job, najiona niko mwepesi sana, na hapo nakata tamaa. So mkuu kama una nia ya dhati ya kutusaidia, pliz tuandikie kwa kirefu kuhusu hizo freelancer, fiverr etc

Biding haina formula ila ni vile watu labda mnabid ovyo na kutakkubidi zile kazi za pesa nyingi kwa kazi ndogo na ndiyo maana mnakutana na mataperi.
Escrow account ni pale mtu akikupa milestone ina maana kadeposite ela kwenye account ya freelancer. Ndiyo maana wanakwambia do not work without a milestone.
milestone.jpg

Ila sasa mimi utaona kaitengeneza same day na kuiachia muda huo huo kwakuwa ni client wangu wa muda uwa simuombi atengeneze milestone akinipa kazi nafanya nikimaliza anatengeneza na kuiachia hapo hapo. Ila kama ni client mpya dai milestone usifanye kazi bila milestone. Hii ni kwa freelancer isjui una swali kuhusu upwork?
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Biding haina formula ila ni vile watu labda mnabid ovyo na kutakkubidi zile kazi za pesa nyingi kwa kazi ndogo na ndiyo maana mnakutana na mataperi.
Escrow account ni pale mtu akikupa milestone ina maana kadeposite ela kwenye account ya freelancer. Ndiyo maana wanakwambia do not work without a milestone.
View attachment 1393234

Kwa beginner anaanzaje kubid mpaka apate kazi na hana CV ya iliyoshiba?
 
Kwa experience yangu kote iwe freelancer au upwork CV haina big deal kihivyo, japo ni rahisi kupata kazi ukiwa na stars freelancer na ukiwa inaonyesha usha earn ela nyingi maana unakuwa unaaminiwa. Ila technic kama we ni freelancer uwe unabid kwa kuweka bei ya chini maana mtu hawezi kosa kumpa mkongwe kazi akkupe wewe wakati nyote mmeweka bei sawa
 
Nimekupata vema,kazi gani za kuanza nazo kama beginner....rahisi kidogo?
 
Fanya kitu unachohisi unakiweza yani usifanye kitu kwa kuiga fanya zile kazi unazohisi unazimaster. Mfano mimi nafanya article writing, copy writing, SEO, subtitles, transccribing, product reviews, network and system testing, translation na mengine ila mwanzo niliingia kwa lengo la kufanya graphics nikaona nashindwa kucompete na wapakstan na wahindi nikaachana nayo nikaanza jitafuta.
 
Ningependa kujifunza video captioning and subtitling nianzie wapi kaka.Itanichukua muda gani Ku master hayo maswala.
 
Fanya kitu unachohisi unakiweza yani usifanye kitu kwa kuiga fanya zile kazi unazohisi unazimaster. Mfano mimi nafanya article writing, copy writing, SEO, subtitles, transccribing, product reviews, network and system testing, translation na mengine ila mwanzo niliingia kwa lengo la kufanya graphics nikaona nashindwa kucompete na wapakstan na wahindi nikaachana nayo nikaanza jitafuta.
?
OK. Naona wahindi ndiyo wameziteka hizi mishe.
 
Biding haina formula ila ni vile watu labda mnabid ovyo na kutakkubidi zile kazi za pesa nyingi kwa kazi ndogo na ndiyo maana mnakutana na mataperi.
Escrow account ni pale mtu akikupa milestone ina maana kadeposite ela kwenye account ya freelancer. Ndiyo maana wanakwambia do not work without a milestone.
View attachment 1393234
Ila sasa mimi utaona kaitengeneza same day na kuiachia muda huo huo kwakuwa ni client wangu wa muda uwa simuombi atengeneze milestone akinipa kazi nafanya nikimaliza anatengeneza na kuiachia hapo hapo. Ila kama ni client mpya dai milestone usifanye kazi bila milestone. Hii ni kwa freelancer isjui una swali kuhusu upwork?
Yeah, upwork nimesign up nika-draft profile baada ya 24hrs napata ujumbe kwamba sijakubaliwa, nikafanya tena na tena lakini bado. Labda kama kuna cha ziada naomba unifahamishe. Au njia ya kutengeneza profile kwa urahisi ikakubaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom