Njia za kupokea mzigo wako ulionunua kwenye mtandao(ebay,alibaba,amazon)

Mbeya sehemu gani?? Mm npo iyunga natumia 53119 ila naendaga kuchukulia vitu posta ya mkoa kule mjini
 
Ni sawa kama huna sanduku itaenda pale ya mkoa.. So hata ukitumia hiyo ya iyunga hmna tabu.. Utaenda kuchukua kwa maza wa pale posta ya mkoa.. Cha msingi detail zako zifanane haswa jina lako na la mzgo wako
duh me no MBEYA mjn isanga APA kakaa
 
Hizi wanatoza sana ila inategemea siku nyingine mm silipagi
Hivi wakuu huwa mnalipia tozo pale posta?
Maana wamama walikuwa wananikaba 2000k kila parcel hata kama ni meagiza sindano ya nusu Dollar.
Sasa wamepandisha Hadi 2500@ parcel haijalishi ni registered mail au yoyote wao wanakaba Tu eti ni agizo toka juu.
Je hili ni kwa posta zote au ndio nageuzwa fursa kiaina?
Mpombote , Mwl.RCT Mr. Mobile uyui kwetu[/USE
@Ymoller
 
Ni sawa kama huna sanduku itaenda pale ya mkoa.. So hata ukitumia hiyo ya iyunga hmna tabu.. Utaenda kuchukua kwa maza wa pale posta ya mkoa.. Cha msingi detail zako zifanane haswa jina lako na la mzgo wako
ahaaaaa
hv eneo la address line 1 na address line two ndozipi kakamkuuu
 
msaada
mimi ni mgeni wa kuagiza bidhaa online nimejaribu na nimetrack bidhaa mara ya mwisho nimepata information hii
LAO, (The item has been processed in the country of destination) je hapa kama niko mkoani siwezi kuutrack tena na nitajuaje kama umefika mkoa nilioko.?
 
Ni sawa kama huna sanduku itaenda pale ya mkoa.. So hata ukitumia hiyo ya iyunga hmna tabu.. Utaenda kuchukua kwa maza wa pale posta ya mkoa..
mkuu, unamaanisha kama huna box mzigo huwezi ukafika posta ya wilaya
 
Unafika mkuu... Ila kwa huku nlivyoona ukiandika posta ndogo izi mzigo unachukulia posta ya mkoa.. Mfano kwa uku naandikaga iyunga ila naenda kuchukulia ya mkoa
mkuu, unamaanisha kama huna box mzigo huwezi ukafika posta ya wilaya
 
msaada
mimi ni mgeni wa kuagiza bidhaa online nimejaribu na nimetrack bidhaa mara ya mwisho nimepata information hii
LAO, (The item has been processed in the country of destination) je hapa kama niko mkoani siwezi kuutrack tena na nitajuaje kama umefika mkoa nilioko.?
Bado utaendelea kupata update hadi posta ulioandika katika anuani yako.
 
kiukweli nimekua mtumiaji wa ebay kwa mda mwingi sana...wana option ya standard int'l shipping(kama haipo natafuta buyer anaeprovide hii)kwa $2.5 mzigo hauzidi siku 10 ushafika...
Mkuuu bidhaa Kama simu unalipia kodi
 
ivi kama bidhaa uliyoagiza ikifika nchini inaweza fika mkoani kwa mda gani mkoani kama Ruvuma
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom