Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,133
- 2,987
Hii ikoje mkuuMasterCard ya MPESA is the BEST in TOWN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ikoje mkuuMasterCard ya MPESA is the BEST in TOWN
Kwawaliombeya please tujuzane maeneo ambayo mawakala wapo au address wanazotumia MBEYA jiji
duh me no MBEYA mjn isanga APA kakaaMbeya sehemu gani?? Mm npo iyunga natumia 53119 ila naendaga kuchukulia vitu posta ya mkoa kule mjini
duh me no MBEYA mjn isanga APA kakaa
Hivi wakuu huwa mnalipia tozo pale posta?
Maana wamama walikuwa wananikaba 2000k kila parcel hata kama ni meagiza sindano ya nusu Dollar.
Sasa wamepandisha Hadi 2500@ parcel haijalishi ni registered mail au yoyote wao wanakaba Tu eti ni agizo toka juu.
Je hili ni kwa posta zote au ndio nageuzwa fursa kiaina?
Mpombote , Mwl.RCT Mr. Mobile uyui kwetu[/USE
@Ymoller
ahaaaaaNi sawa kama huna sanduku itaenda pale ya mkoa.. So hata ukitumia hiyo ya iyunga hmna tabu.. Utaenda kuchukua kwa maza wa pale posta ya mkoa.. Cha msingi detail zako zifanane haswa jina lako na la mzgo wako
ahaaaaa
hv eneo la address line 1 na address line two ndozipi kakamkuuu
mkuu, unamaanisha kama huna box mzigo huwezi ukafika posta ya wilayaNi sawa kama huna sanduku itaenda pale ya mkoa.. So hata ukitumia hiyo ya iyunga hmna tabu.. Utaenda kuchukua kwa maza wa pale posta ya mkoa..
mkuu, unamaanisha kama huna box mzigo huwezi ukafika posta ya wilaya
ngoja nijaribu nione kama wataleta wilayaniUnafika mkuu... Ila kwa huku nlivyoona ukiandika posta ndogo izi mzigo unachukulia posta ya mkoa.. Mfano kwa uku naandikaga iyunga ila naenda kuchukulia ya mkoa
ngoja nijaribu nione kama wataleta wilayani
Bado utaendelea kupata update hadi posta ulioandika katika anuani yako.msaada
mimi ni mgeni wa kuagiza bidhaa online nimejaribu na nimetrack bidhaa mara ya mwisho nimepata information hii
LAO, (The item has been processed in the country of destination) je hapa kama niko mkoani siwezi kuutrack tena na nitajuaje kama umefika mkoa nilioko.?
Asante ngoja niwe mvumilivuBado utaendelea kupata update hadi posta ulioandika katika anuani yako.
Mkuuu bidhaa Kama simu unalipia kodikiukweli nimekua mtumiaji wa ebay kwa mda mwingi sana...wana option ya standard int'l shipping(kama haipo natafuta buyer anaeprovide hii)kwa $2.5 mzigo hauzidi siku 10 ushafika...
Ndani ya masaa 72ivi kama bidhaa uliyoagiza ikifika nchini inaweza fika mkoani kwa mda gani mkoani kama Ruvuma