Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,181
- 2,446
Mkuu, upo sawa kabisa, nimesahau kidogo maana ni muda mrefu kidogo. Inawezekana kabisa nilitumiwa kupitia UPS but huenda nimechanganya na USPSMkuu ni tofauti na UPS nadhan hawa UPS kama Kama DHL.Je unazungumzia hawa USPS ambao ni shirika la posata?