Njia za kupokea mzigo wako ulionunua kwenye mtandao(ebay,alibaba,amazon)

Mkuu ni tofauti na UPS nadhan hawa UPS kama Kama DHL.Je unazungumzia hawa USPS ambao ni shirika la posata?
Mkuu, upo sawa kabisa, nimesahau kidogo maana ni muda mrefu kidogo. Inawezekana kabisa nilitumiwa kupitia UPS but huenda nimechanganya na USPS
 
Na shiling laki mbili nataka agiza T-shirt plain za bei rahisi nataza kwenye eBay naona wameandika ivi sijahelewa wana maana gani $3.45-6.45+$3 shipping hapo wana maana gani na je iyo hela ntapata T-shirt ngapi pamoja ukijumuisha na usafiri hadi tanzania
 
Hivi nikitaka kufanya kadi yangu ya bank iwe inafanya online transaction ni njia gani natakiwa nifanye?

Je, kwa bank husika ili kufanikisha hili kuna makato yoyote wanakata?
 
Kwa uzoefu nilio Hao, kwenye hizo Bei hiyo ni range.. Means hapo kuna minimum Na maximum, jinsi unavyozidisha idadi ya t shirt ndivyo Bei inavyopungua kutoka maximum kuja minimum..

Kujua idadi ya t shirt utakazopata, Jaribu kufanya kama unataka Ku place order.. Utajua idadi..
 
Hivi nikitaka kufanya kadi yangu ya bank iwe inafanya online transaction ni njia gani natakiwa nifanye?

Je, kwa bank husika ili kufanikisha hili kuna makato yoyote wanakata?
Card inatakiwa iwe master au visa Kwa bank kama Crdb unaenda Tawini kuna fomu unajaza ya kuiruhusu kwa PayPal wakati una link hukata kama dollars mbili ivi Unaenda benk unachukua statement utakuta na confirmation code kwa hio statement unaziweka paypal
 
kiukweli nimekua mtumiaji wa ebay kwa mda mwingi sana...wana option ya standard int'l shipping(kama haipo natafuta buyer anaeprovide hii)kwa $2.5 mzigo hauzidi siku 10 ushafika...
Mkuu itabidi unisaidie maujanja kuhusu manunuzi eBay.
 
Mkuu hapokwenye street address 1 jaza Postal Address iliyokamilika na mtaa. Postal code mi huwa najaza dash (_). Address 2 ni optional
Vipi kama sina sanduku la posta jina La mtaa si linatosha sana mkuu au vipi
 
Huu mzigo toka niagize mwezi wa nne tarehe 18 hadi leo bado haujafika aisee niliagiza Aliexpress kutoka China kwa njia ya Posta ndo unifikie
aliexpress.JPG
 
Vipi kama sina sanduku la posta jina La mtaa si linatosha sana mkuu au vipi
Nani atakuletea mtaani kwako?
Njia rahisi ni kutumia sanduku la posta kama huna unatumia hata la shule, kanisa, au la mtu yyte unafahamiana naye.
Mzigo ukifika posta wanakupigia simu unaenda kuchukua mzigo wako. Kama kuna kodi unalipia
 
Mimi nimeagiza mzigo lakini niliweka address ambayo haina sanduku la posta . Now naambiwa mzigo umefika kwenye ciuntry of destination ila namba za simu niliweka , sijui inakuwaje hapo
 
Attachments

  • Screenshot_20190518-194654.png
    Screenshot_20190518-194654.png
    10.1 KB · Views: 65
Back
Top Bottom