Njia za kupata mtaji wa biashara

jasyfabiano

Member
Dec 19, 2014
18
34
Habari za mida wasaka tonge wenzangu,
Nimekuwa natamani na mimi nimiliki biashara yangu,ila changamoto inakuwa kwenye mtaji wa kuanzishia hiyo biashara.
Njia zipi labda zinaweza kunisaidia kupata mtaji?
 
Ukipata ufahamu wa kupata mtaji ni tunu kubwa ktk utafutaji wa utajiri.

Kama una kipaji chochote kibadilishe kikupe pesa hatakama ni ndogo kusanya tu maana hakuna mafanikio rahisi.

Vinginevyo tafuta wapiga tofali wakupe kibarua ama ujishughulishe kwa njia yoyote halali upate mtaji.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom