Njia za kulimaliza tatizo la upungufu wa nguvu za kiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njia za kulimaliza tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Discussion in 'JF Doctor' started by Pdidy, Feb 4, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Wajameni tunaulizia kwa wataalamu wa JF dawa gani za kuongeza mbegu za kiume yaani idadi zake na kuongeza nguvu za kiume ukiacha viagra.

  Tuwe serious kutoa msaada.

   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  dawa nzuri ni lishe tu. kula mlo kamili, matund ana mboga mboga kama kawaida. pata muda wa kutosha kupumzika. epuka sigara na kunywa pombe kwa kiasi kama mywaji.
   
 3. Bibie

  Bibie Member

  #3
  Feb 5, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  V-RX capsules have been developed from all-natural herbal ingredients, you will increase your size, volume of the sperms and improve your natural performance. When you begin to experience more frequent firmer erections, penis enlargment begins in a matter of weeks. First you will begin to see an increase in the girth, then as cell development really begins to take hold you will see an increase in penis length as well.
   
 4. Bibie

  Bibie Member

  #4
  Feb 5, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Causes for low sperm count:

  Infected semen

  Tight underpants, bathing in very hot water, sitting for long hours, over weight in which fat layers sag on testicles reduce sperm count

  Very frequent semen ejaculation also lead to lowered sperm count and man may become effectively infertile. Hence maintaining a gap of 3 days between two consecutive ejaculations keeps a man more fertile.

  Smoking, Excessive alcohol intake.

  Over exertion physically and mentally

  Zinc deficiency

  Infections present in prostate gland.

  Malformed genital organs.

  Anabolic steroid use

  10 Ways you can Increase Your Sperm Count

  1. Have sex & masturbate less often - the more times you ejaculate, the less dense your semen will be. Maintain a gap of 3 days between two consecutive ejaculations.

  2. Refrain from habits like smoking, alcohol consumption etc. - Alcohol affects your liver function, which, in turn, causes a dramatic rise in estrogen levels. Even two drinks a day will have long-term effects on sperm production

  3. Exercise regularly.Exercising your PC muscle can help you shoot further than ever before.

  4. Eat Nutritious Food - Diet that's low in fat, and high in protein, vegetables, and whole grains is good for your health and for your sperm. Avoid bitter, astringent and spicy foods.Reduce caffeine intake

  5. Avoid heating of testicles - Wear loose, cotton boxer shorts, Avoid hot baths and saunas

  6. Lose any excess weight, which tends to cause testosterone/oestrogen imbalances.

  7. Reduce stress levels by learning relaxation techniques - Keep your mind and body healthy by regular practice of YOGA and MEDITATION.

  8. Massage body with herbal oil, which improves blood circulation.

  9. Try supplements - Certain natural supplements promise to increase sperm production. Checkout some Natural and Herbal, no side effects supplements at

  10. Make love in the early morning or afternoon. Sperm levels are often highest in the mornings.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Bibie hapo mtihani wala sikupi tena ntaibika mwenyewe jibu amelipata
   
 6. M

  MutaraRudahigwa Member

  #6
  Feb 5, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuongeza mbegu za kiume:
  Kula sana korosho but they are expensive,

  To improve your natural performance:
  Kula na kunywa supu ya pweza kwa sana if possible three times@week.
   
 7. M

  MutaraRudahigwa Member

  #7
  Feb 5, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuongeza mbegu za kiume:
  Kula sana korosho but they are expensive,

  To improve your natural performance:
  Kula na kunywa supu ya pweza kwa sana if possible three times@week.
   
 8. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Amjui kitu ,mineno mingi tu ,kwa ufupi kabisa hakuna kitu au kirutubisho kama kalanga au kwa wengine wanaziita njugu nyasa ,hizo ndio hadi sasa zinaongoza yaani ni nambari wani kabisa ,yaani kama huamini jaribu kula robo kilo kwa siku nzima alafu nisikilisie siku inayofuata. Kama hazikukusaidia basi mwone daktari.
   
 9. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...someni classified ads kwenye magazeti. kuna moja inaitwa Mdiso....LOL!
   
 10. Kireka1980

  Kireka1980 JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2009
  Joined: Mar 18, 2008
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kuna uvumi (hear say) kuwa mwanaume akivaa madini dhahabu itamwathiri kwa kumpunguzia uwezo wake kweny yale mambo yetu yalee! Wadau kuna ukweli wowote?
   
 11. Offish

  Offish Senior Member

  #11
  May 26, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndiyo kwanza nasikia toka kwako, wana JF wenye taarifa wazimwage hapa kwa faida yetu sote tafadhali
   
 12. Kireka1980

  Kireka1980 JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2009
  Joined: Mar 18, 2008
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nimefanya utafiti kwenye site mbali mbali kama vile ummah.com nimeona hii issue imekaa kidini zaidi na haina logic ya kitaalamu. Nilipost hii thread coz huku ZNZ ukionekana na Gold unaaambiwa "sio nzuri kwa wanaume".
   
 13. H

  Havijawa Member

  #13
  May 27, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Polygamy should never be legalised as it brings many disasters in families. Aids is one of the possibilities but also peace usually goes away.
   
 14. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Havijawa karibu jamvini na hapa mezani kuna hoja ya kuwa dhahabu zinapunguza nguvu za kiume, hilo dukuduku lako la polygamy unaweza kwenda kulitoa kwenye thread nyingine ya polygamy should be legal?
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Jokes na Utani..------/
   
 16. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Kama ndiyo hivyo basi hata nguo tunazovaa kila siku zinapunguza nguvu za kiume.

  Wajameni tuanze kutembea uchi ili kusevu mambo!

  Manake, Duh... Wamezidi sasa, kila kitu kinaathiri nguvu za kiume tu mbona za kike sijawahi kusikia zinaathiriwa na kitu chochote????
   
 17. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2009
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Nadhani hiyo si dhahabu bali uranium ambayo pengine imechanganywa na dhahabu. Na kama ina mchanganyiko na uranium basi athari si hapo tu unapozungumzia bali mwili wote.
   
 18. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Matikiti Maji Yanaongeza Nguvu za Kiume

  Watafiti wa nchini Marekani wamegundua kwamba matikiti maji yanaongeza nguvu za kiume na yanasaidia kutoa tiba kwa wanaume wenye upungufu wa nguvu za kiume. Watafiti katika chuo kikuu cha Texas A&M wamegundua kwamba matikiti maji yanaweza yakatumika kama "Viagra ya Asili" kwa wanaume wenye matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume.

  Watafiti hao walisema kuwa tikiti maji lina amino acid nyingi za citrulline ambazo huifanya mishipa ya damu itanuke na iwe katika hali kama ile ambayo mtu anayetumia viagra au madawa ya kuongeza nguvu za kiume huwa nayo.

  Citrulline ikiwa mwilini hugeuka kuwa "arginine" mojawapo ya aina za amino acid. Hali hii husababisha kuongezeka kwa kiwango cha nitric oxide kwenye damu. Nitric oxide husaidia kuifanya mishipa ya damu itanuke.

  Hata hivyo watafiti hao hawakuweka wazi idadi ya matikiti maji ambayo mwanaume anatakiwa kula ili aweze kuwa na nguvu za kiume kama za viagra.

  Bhimu Patil, mkurugenzi wa maabara iliyofanya utafiti huo alisisitiza kuwa ulaji wa tikiti maji wa mara kwa mara unasaidia kuzuia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

  Mojawapo ya faida nyingine ya tikiti maji iliyotajwa ni kusaidia kushusha shinikizo la damu.
   
 19. afkombo

  afkombo Member

  #19
  Jul 11, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Nice Discovery,lakini wadau haya matikiti maji bila shaka yana msimu!!!Kwa mwaka yanapatikana kwa kipindi fulani tu then jiiiiiii!!mpaka mwakani.
   
 20. M

  Malila JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Nani kasema tikiti maji lina msimu? Kilimo chetu ndo kimefanya tikiti maji liwe la msimu. Inachukua siku 70 mpaka 90 kutoka kupanda mpaka kuvuna. Tatizo ni kwamba ukipanda wakati wa mvua utatakiwa kutumia dawa ili kupunguza fungus/ukungu.Wakulima wetu mitaji midogo.
   
Loading...