Njia ya mbinguni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njia ya mbinguni

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Eeka Mangi, Apr 18, 2009.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2009
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kuna muubiri mpya mjini kwetu alitaka mahitaji yake posta. Kwa jitihada zake za kutafuta Posta iliko akakwama hivyo hakuwa na jinsi zaidi ya kutafuta mwenyeji amuulize. Mazungumzo yakawa hivi:-
  Muubiri: Habari zenu vijana
  Vijana: Nzuri mzee, shikamoo
  Muubiri: Marahaba, vijana mnaweza kunionyesha Posta iliko?
  Vijana wakamwelekeza iliko posta.
  Baada ya kumaliza shughuli zake akarudia njia ile ile na kuwakuta vijana wale wale. Akawashukuru na kuwaambia:-
  Vijana asanteni kwa kunionyesha njia ya kwenda posta. Mimi ni muubiri na leo nitaubiri pale kwenye uwanja wa kuchezea mpira hivyo karibuni na nitawaonyesha njia ya kwenda MBINGUNI.
  Vijana wakahamaki, du we mzee chizi nini, njia ya posta huijui utajuaje njia ya kwenda Mbinguni?
  Wana JF je tumeonyeshana njia wiki hii?
  Mbarikiwe sana na weekend njema.
   
 2. senator

  senator JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2009
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Yea makonyagi ametuonesha njia na tuko pamoja nae!!!!
   
 3. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Duu?? njia ziko nyingi sana! ngoma ni ipi unaichagua
   
 4. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kuna njia na njiapanda, wengine hatutaki njia.
   
 5. K

  Kamuna JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 297
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  This happened to Billy Graham in one of his evengelistic ministry in Europe. He personally shared this story to his friends!
   
Loading...