Njia ya kupata moyo wa mwanaume ni kupitia tumbo lake

The Way to a Man's Heart is Through His Stomach! Hii ni methali ya kizungu haipo kwenye methali za wahenga wetu wa kiswahili ila ina make sense hata huku kwetu uswazi.

Ni aibu wanawake wengi hawajui kupika, hata kama ni kupika tunapika kwa mazoea yale yale, alipika bibi,mama akarithi na wewe unaendeleza.

Pamoja na mabadiliko na fursa zilizopo wengi hawataki kujiongeza. Asubuhi ratiba ya mama ilikuwa ni chai mkate blueband au kiporo na wewe miaka hii unaendeleza hivo hivo asubuhi unarusha limfuko la mkate, lichupa la chai hata majani hayajakolea na sukari nyiingi na liblue band la kichina pale mezani.

Mume akitaka chai afungue limfuko la mkate achukue anywe chai? Kweli? hamjawai kujiuliza kwanini wanaume wengi ndo wapenzi wa supu kwa mama ntilie? Unadhani hawana nyumba wale, wamechoka mamikate yenu.

Asubuhi weka chai mezani, mkate kidogo, matunda kidogo, maji, juice mayai kidogo, viazi vitamu au magimbi, supu kidogo, nyama kidogo kuku au fishi yaani mtu akifika mezani apumue kabisa.

Niwashauri kina mama hebu tubadilike jamani tuzifunze milo mizuri kwa familia zetu. Ukimpikia mume vyakula vizuri wala hatohangaika. Tatizo uvivu umewajaa wengi muda wa jikoni hawana, hatupo creative. Vyakula ni vilevile wali, pilau tambi kila siku wakati halafu mimafuta miiingi hadi wababa wa watu visukari vinawatesa, vibamia vinaongezeka halafu mnaanza kuchepuka.

Mungu katubariki vitu vingi mno hapa nchini tena bei rahisi ukienda masokoni na elf 20 unarudi na kiroba cha week. Wengi wavivu kazi kununua magengeni bei ni mara tatu elfu 20 unaishia kula kwa siku.

Na nyie wanaume mtununulie majiko mazuri mimi ikitokea nikapata mtu wa kunioa mahari yangu ni awe tayari kununua jiko kali. Kama huna mahari inayotosha kununua jiko wala sitokufikiria.
umenitamanisha nitangaze ndoa jiko utapata mama
 
Huwezi pata vyote, anaejua kupika na akajua kukupakua kitandani lbd usubiri nikuzalie,
Weeee mwanamke anayejua KUPIKA siku zote nakitandani yupo vzurii mnoooooo yaaaan nmzuri mnooo alafu wanakuaga wasafi baby ,,,

Mimi mwenyewe nakufurahia sana huduma yakooo Basi tuuu huwa najifanya kutosema lkn moyon nazidi kukuombea uzima waafya ili uendelee kunipa tamu isokwisha hamuuuuu
 
Sasa ni hivi, miss bonge kasema ye ni mpishi mzuri sana na kwa maelezo yake yanasadifu hayo, mimi ni mpishi wa 6*6, tuchukue wote basi tukupe maraha beib si unajua kizuri kula na nduguyo han
 
Sawia kabisa.

Michepuko haitakwisha wakiendekeza kutokujua kwao kupika.
 
Sasa ni hivi, miss bonge kasema ye ni mpishi mzuri sana na kwa maelezo yake yanasadifu hayo, mimi ni mpishi wa 6*6, tuchukue wote basi tukupe maraha beib si unajua kizuri kula na nduguyo han
ahahaaa kwaiyo mimi nikiwa jikoni nyie mpo kitandani sio.mkitoka tunajoin kwa meza
 
Sasa ni hivi, miss bonge kasema ye ni mpishi mzuri sana na kwa maelezo yake yanasadifu hayo, mimi ni mpishi wa 6*6, tuchukue wote basi tukupe maraha beib si unajua kizuri kula na nduguyo han
Hahahahahaha Baby Basi sawa haina shidaaa nawaalika wote switiiiiiiizzzzzz
 
Back
Top Bottom