Njia ya kufanya utafiti wa soko, kutest soko likoje

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Elewa kwamba kama huna product mkononi hakuna atakaye kusikiliza.

Huwezi leo hii ukaenda kwa Azam juice ukaanza kumwambia eti je nikilima maembe utanunua? Aisee wanaweza kukufukuza kabisa.

Usiende kutafuta soko na story za nina mpango wa kufanya kitu fulani je utanunua?

Nenda na confidence kwamba nina product fulani hata kama ukweli huna.

Watakuambia leta sample, kama ikibidi kuna mtu mwingine anafanya kanunue na peleka kama ndo product yako. Make sample huwa inaombwa sana.

Lengo hapa ni kutest je hii kitu nikifanya soko likoje? Unafanya soko kivuli.

Ukisha ongea nao mkaafikiana kwamba kalete mzigo sasa hapa ndo kimbebe kilipo, wataomba namba ya simu yako, kwenye bamba mara 100 uwape wrong number yaani taja namba zote zeni kama kuna 5 tamka 3.

Ukitoa namba kamili watakusumbua sana then watakuona ulikuwa msanii na next time hawatakusikiliza ukienda na mzigo sasa.

Wrong number utajitetea kwamba labda ulikosea kwenye kuandika namba.

Baada ya hapo sasa, unaweza amua kuingia field kama ni kulima au kuzalisha.

Mimi kuna wakati hadi nilikuwa nanunua sample kutoka Nairobi ili nije nizuge kwamba ni yangu lengo ni kutest utayali wa soko.

Hii ni njia nzuri sana hasa kama product ni mpya, na yenye specia demand.
 
Man ukiamua kufanya kitu fanya kweli kweli. Namaanisha kuwa fanya utafiti tayari ukiwa na products mkononi ikiwa nzuri itanunuliwa ila ikiwa mbaya ndipo utahangaika.

Mi miez mwezi mmoja uliyoputa nimeanza ujasiria mali na products zilikuwa n za kutembeza aiseee kweli kwenye kutafuta soko ni kaz sana nilikula hasara kama wiki nzima ila nikaja nikawa nachukua vitu konkii hatimaye wateja wakanizoea. Ujumbe ni kuwa zalisha kitu kizuri chenyewe kitakuletea mnunuzi

Samahani mimi cyo mtalaam wa kupangilia aya
 
Sio zote, lazima utest zari kwanza, soko kivuli, kuangalia mwitikio ukoje, ingawa ni vyema sana kuwa na product mkononi
Man ukiamua kufanya kitu fanya kweli kweli. Namaanisha kuwa fanya utafiti tayari ukiwa na products mkononi ikiwa nzuri itanunuliwa ila ikiwa mbaya ndipo utahangaika.

Mi miez mwezi mmoja uliyoputa nimeanza ujasiria mali na products zilikuwa n za kutembeza aiseee kweli kwenye kutafuta soko ni kaz sana nilikula hasara kama wiki nzima ila nikaja nikawa nachukua vitu konkii hatimaye wateja wakanizoea. Ujumbe ni kuwa zalisha kitu kizuri chenyewe kitakuletea mnunuzi

Samahani mimi cyo mtalaam wa kupangilia aya
 
Swala la quality ni la msingi sana hilo halina ubishi
Man ukiamua kufanya kitu fanya kweli kweli. Namaanisha kuwa fanya utafiti tayari ukiwa na products mkononi ikiwa nzuri itanunuliwa ila ikiwa mbaya ndipo utahangaika.

Mi miez mwezi mmoja uliyoputa nimeanza ujasiria mali na products zilikuwa n za kutembeza aiseee kweli kwenye kutafuta soko ni kaz sana nilikula hasara kama wiki nzima ila nikaja nikawa nachukua vitu konkii hatimaye wateja wakanizoea. Ujumbe ni kuwa zalisha kitu kizuri chenyewe kitakuletea mnunuzi

Samahani mimi cyo mtalaam wa kupangilia aya
 
Bill gate na mwenzie walifanya hii mbinu kupata tenda ya IBM.
 
Mkuu CHASHA FARMING Unapokuwa katika utafiti wa aina hiyo, kwenye makampuni husika unakutana na nani hasa ?

Na Je, kama product inahusisha patents, kuna usalama wowote au kuna ulazima wa kusaini Non Disclosure Agreements ?
 
Some time Directors, au watu wa Purchasing na kadhalika, swala la Patent yes ila mara nyingi hatupeleki bidhaa za viwandani sana ni vyakula pekee mkuu

Back
Top Bottom