Njia ya haja kubwa inawasha sana

Status
Not open for further replies.
Sasa we Kombo unataka kwenda kumfanya nini mwenzio, maana hiyo ziara unayoiomba n'meistukia. Nakushauri utumie vidonge aina ya Griseofulvin na tube ya Gentrizone cream itakusaidia
 
pole sana mkuu, je kuna vipele kaa rashezi sehem husika? au ni michubuko tu ya kujikuna? na na je hivyo vipele vinatoa maji maji? na je hayo majimaji ya harufu?
 
Wakuu linapokuja suala la afya ya mwenzetu tuwe makini, kwa Comments hizi nyinyi wote nawaita WAPUUZI, hamuwezi kuleta masikhara wakati mwenzenu anateseka,tuwe na roho ya kibinadamu, Comments za kijinga kama hizi ziwe zinaishia Chit chat au Jukwaa la mambo ya kikubwa
 
Wakuu linapokuja suala la afya ya mwenzetu tuwe makini, kwa Comments hizi nyinyi wote nawaita WAPUUZI, hamuwezi kuleta masikhara wakati mwenzenu anateseka,tuwe na roho ya kibinadamu, Comments za kijinga kama hizi ziwe zinaishia Chit chat au Jukwaa la mambo ya kikubwa

Ni kweli Mkuu, inasikitisha sana. Kejeli zimezidi.
 
Ndg yangu hiyo ni fungus tumia dawa hii Griseofulvin Tabs na Gentrizone cream itakusaidia
 
Check for Fungus, angalia kama dawa unayoitumia inatoa minyoo aina zote. ikiwezekana kunywa dawa specific kwa kila aina ya minyoo. Pia tumia maji na sabuni ya detol baada ya ku-puu. make sure unajisafisha vizuri sana baada ua Puu! Muone daktari wa ngozi.
 
Sasa we Kombo unataka kwenda kumfanya nini mwenzio, maana hiyo ziara unayoiomba n'meistukia. Nakushauri utumie vidonge aina ya Griseofulvin na tube ya Gentrizone cream itakusaidia

Hapana Mkuu sina nia mbaya kutaka kujua alipo, nia yangu ni kuangalia alipo na kufikiria wapi anaweza kupata huduma ya uhakika ukizingatia kwamba alishawahi kutumia dawa ambazo hazijamsaidia.
 
Ujaribu kwenda Pale Opposite na Indumandar Dar es salaam kuna hospital inaitwa Natural Therapy nazani wanadawa za asili zinaweza kukusaidia.
 
Onesha utu uzima wako katika fikra
Mtu kaomba msaada kama hujui kaa kimya sio huu upumbavu ulioandika hapa
JF ni mahali sahii pa kupata suluhisho kwa changamoto zote, kwa fikra zako hilo jibu ni suluhisho kwa swali lililoulizwa?
Behave good next time, please

nimewajibu hapo juu post # 30,, watu wengine ni wajinga wa mwisho mkuu
 
Acha upumbavu wewe hua nakuona mwerevu kumbe ni mjinga tu, wewe kama unajua moja ya sababu za hili gonjwa ni kuingiliwa kinyume msaidie kulitibu, hata kama aiingiliwa kinyume wewe haikuhusu, nakushangaa unaposema ukate kona kidogo unakata kona bila kuja na jibu la kumsaidia, mimi nimekuona ni mpuuzi tu pamoja na wenzako nilio wa quote hapo juu.. na mimi sijaweza kumsaidia kwa sababu mimi sio profffesional yangu katika masuala ya afya, na ninapoona umnaleta ujinga katika suala zito kama hili lazima povu linitoke, imagine wewe ndio ungekua na tatizo halafu unajibiwa hivi ungejisikiaje??

mbona mnapovushana ishu yenyewe haiwahusu......simpo.kijana ajipime source ya tatzo.inaweza kuwa pia labda aliingiliwa..kwani suala la baadhi ya mwanaume kuingiliwa siku izi bado linakushangaza?
 
Jamani ndugu zangu njia yangu ya haja kubwa inawasha sana kwa nnje ni kama miaka minne hivi ukiwa unawasha sana. Najikuna huko hadi najichubuka, nimetumia sana dawa ya minyoo nilivyoshauriwa na daktari lakini bado cjapata nafuu. Mnisaidieni!!

What are the causes of anal
itching?
Anal itching is usually a sign or symptom
of a harmless physical problem with no
long-term health consequences.
Unfortunately, it can also be an
indication of something more serious,
such as:

Skin type - if the skin around the anal
area is too dry there is a significantly
greater risk of developing persistent and
sometimes severe anal itching.


Moisture levels - if moisture levels
around the anal area are high, the
chances of having anal itching are
raised. High moisture levels can be the
result of several different factors,
including over-sweating, allergies,
diarrhea, very wet and sticky stools,
inappropriate clothing, fecal
incontinence, and not having access to
toilet paper or any means of cleaning
oneself.


Abrasive rubbing - cleaning your
bottom with toilet paper can aggravate
anal itching if the sensitive skin area is
rubbed too hard, for too long, or too
often.
Over-washing the anal area - if harsh
soaps affect the skin, especially if not
rinsed off properly, the chances of
itching in the anal area may increase.


Some chemicals - some substances
found in some soaps, douches, laundry
detergents and body sprays may irritate
the skin and cause anal itching.


Type of toilet paper - the texture and
substances added to toilet paper may
irritate and inflame the skin in the anal
area, resulting in itching.


Some foods - some people may
develop anal itching after consuming
certain types of hot sauces or spices.
The irritation may occur when the food is
anywhere in the digestive system, even
when stools are exiting through the
anus.
If a stool is not smooth and does not
come out with the minimum of friction,
irritation may occur and then
subsequent itching - some people find
that their anus becomes irritated after
passing stools which originated from
eating tomatoes, nuts, popcorn,
chocolate, and even drinking alcoholic
beverages. If some foods make people
have diarrhea, their risk of developing
anal itching is greater (because of the
diarrhea).


Some medicines - some medications,
such as antibiotics can cause diarrhea,
which can cause anal itching.


Laxative abuse - if laxatives are used
inappropriately and the patient has
diarrhea or very liquidy stools, the
probability of anal itching occurring
becomes much greater.


Hemorrhoids - when the veins around
the anus or in the rectum are swollen or
inflamed the patient has hemorrhoids.
Hemorrhoids can occur both inside and
above the inside of the anus. They can
also appear externally, under the skin of
the anus. People with hemorrhoids
commonly suffer from anal itching.


STDs (sexually transmitted
diseases) - also known as STIs (sexually
transmitted infections) cause anal as
well as genital itching.


Parasites- some parasites may cause
anal itching. Parasites are more
commonly a cause of anal itching in
tropical countries, or tropical regions of
countries.


Skin conditions - such as eczema,
seborrhea, and psoriasis, which may
include itching in many parts of the
body's surface, often have characteristic
focal areas of irritation. People with
these skin conditions commonly
experience anal itching.


Some yeast infections - this generally
affects women. Yeast infections which
affect the genital area, may spread to
the anus, causing intense irritation.


Forced bowel movement - if the stool
is dry and large and the individual
heaves and still pushes it through, there
is a risk of an anal abrasion (small tear in
the anus). A deeper tear is called an anal
fissure, which may also cause itching.


Tumors - a tumor in the anal region may
cause anal itching. The tumor may be
cancerous (malignant) or non-cancerous
(benign). This is rare.
 
What are the causes of anal
itching?
Anal itching is usually a sign or symptom
of a harmless physical problem with no
long-term health consequences.
Unfortunately
, it can also be an
indication of something more serious,
such as:
Skin type - if the skin around the anal
area is too dry there is a significantly
greater risk of developing persistent and
sometimes severe anal itching.
Moisture levels - if moisture levels
around the anal area are high, the
chances of having anal itching are
raised. High moisture levels can be the
result of several different factors,
including over-sweating, allergies,
diarrhea, very wet and sticky stools,
inappropriate clothing, fecal
incontinence, and not having access to
toilet paper or any means of cleaning
oneself.
Abrasive rubbing - cleaning your
bottom with toilet paper can aggravate
anal itching if the sensitive skin area is
rubbed too hard, for too long, or too
often.
Over-washing the anal area - if harsh
soaps affect the skin, especially if not
rinsed off properly, the chances of
itching in the anal area may increase.
Some chemicals - some substances
found in some soaps, douches, laundry
detergents and body sprays may irritate
the skin and cause anal itching.
Type of toilet paper - the texture and
substances added to toilet paper may
irritate and inflame the skin in the anal
area, resulting in itching.
Some foods - some people may
develop anal itching after consuming
certain types of hot sauces or spices.
The irritation may occur when the food is
anywhere in the digestive system, even
when stools are exiting through the
anus.
If a stool is not smooth and does not
come out with the minimum of friction,
irritation may occur and then
subsequent itching - some people find
that their anus becomes irritated after
passing stools which originated from
eating tomatoes, nuts, popcorn,
chocolate, and even drinking alcoholic
beverages. If some foods make people
have diarrhea, their risk of developing
anal itching is greater (because of the
diarrhea).
Some medicines - some medications,
such as antibiotics can cause diarrhea,
which can cause anal itching.
Laxative abuse - if laxatives are used
inappropriately and the patient has
diarrhea or very liquidy stools, the
probability of anal itching occurring
becomes much greater.
Hemorrhoids - when the veins around
the anus or in the rectum are swollen or
inflamed the patient has hemorrhoids.
Hemorrhoids can occur both inside and
above the inside of the anus. They can
also appear externally, under the skin of
the anus. People with hemorrhoids
commonly suffer from anal itching.
STDs (sexually transmitted
diseases) - also known as STIs (sexually
transmitted infections) cause anal as
well as genital itching.
Parasites- some parasites may cause
anal itching. Parasites are more
commonly a cause of anal itching in
tropical countries, or tropical regions of
countries.
Skin conditions - such as eczema,
seborrhea, and psoriasis, which may
include itching in many parts of the
body's surface, often have characteristic
focal areas of irritation. People with
these skin conditions commonly
experience anal itching.
Some yeast infections - this generally
affects women. Yeast infections which
affect the genital area, may spread to
the anus, causing intense irritation.
Forced bowel movement - if the stool
is dry and large and the individual
heaves and still pushes it through, there
is a risk of an anal abrasion (small tear in
the anus). A deeper tear is called an anal
fissure, which may also cause itching.
Tumors - a tumor in the anal region may
cause anal itching. The tumor may be
cancerous (malignant) or non-cancerous
(benign). This is rare.

Umemaliza
 
Tafuta kijati mkuu uwe unajikwangua taratibu.Kama unaumia tafuta nyama ndefu kama kijiti ikusaidie
 
Wakuu nakumbuka kwenye mwaka 2008 nlienda kwa dokta mmoja kupima choo na tumbo kwa ujumla, akaniambia nna minyoo fulani ambao wanasababisha sehemu ya haja kubwa kuwasha akanipa dawa ila hazikunisaidia, nikaendelea hivo hivo nikawa sometym nanunua dawa za minyoo nakunywa ila ikawa still inaendelea. Ila bado sijatake further measurement toka huyo dokta aniambie kuwa nna hiyo minyoo. Kwa nnavyoona mimi sidhani kama ni ngozi kwa sababu nikichubuka alafu nikaacha kwa siku mbili ngozi inapona kabisa ila muwasho unaendelea so najikuta naendelea kukuna. Mi naishi Arusha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom