Njia watumiazo wadada kuwataka wakaka

Wengi hunichukia baada ya mazoea ya muds mfupi, yaani mimi hukwepa mazoea nao na wao hutaka. Mwisho wa siku hunikaushia hata salamu yaani! Mpaka najiuliza ninakosaga nini? Mbona mimi ni mtu poa?
Ok fanya hivi kwa huyo kakunyima salamu, jitoe umuanze mpe salamu then muombe favor yeyote unayohisi iko ndani ya uwezo wake.

mfano; Muombe akusaidie kununua muda wa maongezi kwa simu yake then umpe cash(omba akusaidie chochote kile una uhakika kipo ndani ya uwezo wake) aki respond positively, believe me kazi ni kwako tu kwenda kula kimasihara.
 
Sidhani Mkuu nafikiri ni hisia zao tu kumbuka hawa wenzetu wameumbwa tofauti kidogo kwa upande wa hisia.

Manake hata mke wa mtu anaweza kukuchukia tu bila sababu, Je, amekupenda kwelikweli huyo???

Nachofikiri anaweza kuchukia akidhani labda umemdharau ama umeona hajakidhi viwango so humfanya afeel insecure kumbe muhusika akutilia tu maanani ama hakuelewa somo.
kweli mkuu.
kuhusu kuchukiwa nilikuwa naongelea zaidi kwa yule ambaye amekuonyesha ishara za kukuhitaji lakini wewe ukapotezea kama vile hujagundua chochote.
 
Ok fanya hivi kwa huyo kakunyima salamu, jitoe umuanze mpe salamu then muombe favor yeyote unayohisi iko ndani ya uwezo wake.

mfano; Muombe akusaidie kununua muda wa maongezi kwa simu yake then umpe cash(omba akusaidie chochote kile una uhakika kipo ndani ya uwezo wake) aki respond positively, believe me kazi ni kwako tu kwenda kula kimasihara.
Yaani hujaelewa, nasalimia ila wananikaushia.
 
Yaani hujaelewa, nasalimia ila wananikaushia.
Mkuu hata Biblia imeandika tuishi nao kwa akili.

Akili ni nini, ni uwezo wa kuelewa vilivyofichwa.

Sasa wanawake kwa walivyoumbwa mara nyingi anachosema huwa si anachomaanisha ama ana maanisha lakini anamaanisha zaidi na alivyolisemea, Kiufupi ni kuwa hawatabiriki ila ukiwa makini ni wa rahisi sana. Hata mkeo ndani anawezataka dushe na asikwambie direct akatumia njia Fulani na usipomwelewa anakukasirikia pia.
 
For me naona kama ni kujitongozesha wakati tumezoea wakaka ndiyo wanaotongoza, afu pia would i be comfortable kuwaambia hata watoto wangu kwamba baba yenu nilimfata nikamwambia nampenda? Mmh kidogo haijakaa sawa, raha ya babe akufate akutongoze umhoji hoji viswali then umkumbalie aisee hata yeye atajiskia vizuri bana, good morning mkuu
Umuhoji umekuwa police wewe 👮👮😂😂😂😂
 
Haya maswala hayana kanuni yanachangiwa sana na tamaduni makuzi asili na vitu kama hivyo kukalili tu no
 
Back
Top Bottom