Njia watumiazo wadada kuwataka wakaka

Battor

JF-Expert Member
Mar 21, 2019
514
1,000
Wengi hunichukia baada ya mazoea ya muds mfupi, yaani mimi hukwepa mazoea nao na wao hutaka. Mwisho wa siku hunikaushia hata salamu yaani! Mpaka najiuliza ninakosaga nini? Mbona mimi ni mtu poa?
Ok fanya hivi kwa huyo kakunyima salamu, jitoe umuanze mpe salamu then muombe favor yeyote unayohisi iko ndani ya uwezo wake.

mfano; Muombe akusaidie kununua muda wa maongezi kwa simu yake then umpe cash(omba akusaidie chochote kile una uhakika kipo ndani ya uwezo wake) aki respond positively, believe me kazi ni kwako tu kwenda kula kimasihara.
 

arlafat

JF-Expert Member
Jul 3, 2019
767
1,000
Baadhi ya Dalili za kwamba mdada anakutaka kimapenzi (According to me)

1) ukichukua namba yake, siku ingine yeye anakuwa wa kwanza kukutext na kukupigia..sms zake zitakua refu..
2) Anapenda kukugusa Kidoogo na ku-spend muda mwingi akiwa karibu wewe
3) Baadhi ya Rafiki zako wa kike na wa kiume wanakwambia fulani anakupenda
4)Karibia kila umwambiacho kwake yeye ni sawa, anakukubalia
5)Ukimwambia aje ghetto,au mkutane sehem fulani atakuja, mwanamke anaekupenda, hawezi toa visingizio kuwa yuko busy, hana muda, au ahairishe miadi..yani mwanamke anaekupenda haswa, hawezi play hard to get kwako..
6) Kukuvalia mavazi ya mitego na kukupa vijizawadi, inategemea na mazingira mliopo
7) Saa ingine ukiongea naye anahema whuuuuuu, kama vile alikuwa anakimbia kumbe anatembea, kwasababu anakuona you are the sexiest man alive


Pamoja na kufahamu hizi dalili, lakini saa nyingine ili kuonyesha umangula wangu, mdada mbovu mbovu akinionesha hizi dalili huwa najifanya sielewi mdada anachomaanisha, bhas naishia kuchukiwa kisiri siri
Tumwambie huyu jamaa au tumuache
 

humility21

JF-Expert Member
Jan 8, 2021
306
500
Sidhani Mkuu nafikiri ni hisia zao tu kumbuka hawa wenzetu wameumbwa tofauti kidogo kwa upande wa hisia.

Manake hata mke wa mtu anaweza kukuchukia tu bila sababu, Je, amekupenda kwelikweli huyo???

Nachofikiri anaweza kuchukia akidhani labda umemdharau ama umeona hajakidhi viwango so humfanya afeel insecure kumbe muhusika akutilia tu maanani ama hakuelewa somo.
kweli mkuu.
kuhusu kuchukiwa nilikuwa naongelea zaidi kwa yule ambaye amekuonyesha ishara za kukuhitaji lakini wewe ukapotezea kama vile hujagundua chochote.
 

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
579
1,000
Ok fanya hivi kwa huyo kakunyima salamu, jitoe umuanze mpe salamu then muombe favor yeyote unayohisi iko ndani ya uwezo wake.

mfano; Muombe akusaidie kununua muda wa maongezi kwa simu yake then umpe cash(omba akusaidie chochote kile una uhakika kipo ndani ya uwezo wake) aki respond positively, believe me kazi ni kwako tu kwenda kula kimasihara.
Yaani hujaelewa, nasalimia ila wananikaushia.
 

Battor

JF-Expert Member
Mar 21, 2019
514
1,000
Yaani hujaelewa, nasalimia ila wananikaushia.
Mkuu hata Biblia imeandika tuishi nao kwa akili.

Akili ni nini, ni uwezo wa kuelewa vilivyofichwa.

Sasa wanawake kwa walivyoumbwa mara nyingi anachosema huwa si anachomaanisha ama ana maanisha lakini anamaanisha zaidi na alivyolisemea, Kiufupi ni kuwa hawatabiriki ila ukiwa makini ni wa rahisi sana. Hata mkeo ndani anawezataka dushe na asikwambie direct akatumia njia Fulani na usipomwelewa anakukasirikia pia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom