Njia tatu salendar zaanza kwa ajali !!!jeshii laanza kulamba matapishi yake!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njia tatu salendar zaanza kwa ajali !!!jeshii laanza kulamba matapishi yake!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 21, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,494
  Likes Received: 5,724
  Trophy Points: 280
  Kwa wale waliodamka asbh leo kuelekea posta kupitia njia ya moroco kulikuwa na mabadiliko kidogo
  mapolisi walisimama pale salenda mara nikaona wanaita gari letu kuelekea kulia yaani bara bara ya pili nikajua mh sana anapita la hasha niliposhuka palmbeach nikaona kumbe ni yale yale jeshi limeamua kulamba matapishi yake

  Tukumbuke sana jeshi hili lililaani lowassa alipotoa amri ya njia tatu ..nilipofika kituoni nikaanza kuona nini kinaendelea..anyway nasema hili zoezi ni chafu na wameshindwa kama walivyofikiria kwa saababu 2 ama 3

  1)Pamoja na kuweka njia mbili bado kule moroco gari zilikuwa zimebanana kuonyesha hata communication poor kabisa cha ajabu ukifika mataa ya namanga unaona bado folen,ukipita hayo mataa unaona njia nyeupe so unashindwa kuelewa haya mawasiliano yao yanakuwaje na cha ajabu kila traffic wana redio sijui wanawapigia wake zao na hayo ma redio call ama lah,

  2)Ajali zimeanza kutokea ovyo na hili ni kutokana na sababu nyingi kwanza watu awakuambiwa hili swala hata kwenye redio ama tv,pili

  3)Hilii ni chafu zaidi afadhali hata ile ya lowassa,,uwezi kuweka watu wanaotoka kwenda mjini kwenda morocco nk pembeni ya barabara kama awana kazi za kufanya ama kazi ni kwa walio mjini tu,,huu ni upuuzi wa ajabu kwa sababu kupitia hili wameweka foleni kuanzzia palmbeach mpaka karibu na lasvegas,nyingine UNROAD imejaa mpaka faya,,ukija upande wa ofisi za lugalo zimefunga gari mpaka hosp ya tumaini.....

  4)AJALI
  Lengo ni zuri ila nahisi awajajiandaa jinsi ya kutumia hiyo njia tatu,,kwa walioona kuna ajali kibao zinaendeleaa na nahisi zitaja mpaka kesho na kuonyesha wanajua kutakuwa na ajali ama haya magari ni yao ya kubebea garimbovu,,breakdown yamwekwa pale pembeni ya hotel ya palmbeach,huu ni uhuni mkubwa....

  TUNAOMBA JESHI LA POLISI TUNAITAJI KWELI KUWAHI OFSINI LAKINI ZOEZI HILI LITAWAUA WENGI WAPITA NJIA NA KUONGEZA AJALI YA MAGARI..NAULIZA WAKATI WA MKUTANO WA MLIMANI CITY KULIKUWA NA MAPOLISI WALIOSIMAMIA HII NJIA 7DAYS BILA YA FOLENI,,JE KUNA NINI KIMEWASHINDA LEO KUJIPANGA NA KULETA NJIA ZISIZOSAIDIA NA KUTUACHIA MAJONZI...???NO TUACHEN NA NJIA ZETU ATUITAJ KUONA VILEMA TENA MAHOSPITALINI WALIOKUWEPO KWA AJILI YA PIKIPIKI WANATOSHA KABISA
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hakuna mipango mizuri zaidi ya kukurupuka tu mkuu the same na watu tunaotumia barabara ya airport asubui wanazuia gari zinazotoka airport kwenda gmboto hapa jankioni na kuzuia zinazotoka njia panda ya segerea kwenda gmboto still unakuta mwingiliano wa kijinga jinga na redio call wanazo
   
Loading...