Njia salama ya kutunza vyeti vyako

h120

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
2,530
3,315
Habari zenu wana JF, Leo nakuja na njia mbadala ya kutunza vyeti vyetu tumekuwa tukisikia kila siku kwenye radio au kusoma magazetini watu wamepoteza vyeti vyao na ni vyeti muhimu sana katika maisha haya ya kuajiriwa, na kujiajiri.
Wengi wetu njia tunayotumia kuhifadhi nakala halisi ya vyeti vyetu ni makabatini wengine kwenye mabegi na baadhi kwenye safe lock. Ila tunasahau haya ni makaratasi tu lolote linaweza tokea yawe maji, moto, kuibiwiwa au hata kupoteza. Sasa Nawashauri wale wote mnaotaka usalama wa vyeti vyenu mfanye mpango muwe softcopy backup ya vyeti vyenu.
Scan vyeti vyako vyote muhimu na hifadhi online hii itakusaidia hata vile original vikipotea au kuharibiwa na pia unaweza pata access ya nakala ya vyeti vyako popote pale uendapo.

Sehemu za kuhifadhi:
Kuna online storage nyingi sana unazoweza tumia kuhifadhi nakala zako hizi ni baadhi tu:

4shared- hapa wanatoa 15GB free (unafungua account)
Drop box- Nayo free
Google Drive- free
Icloud- wale wa apple products hii nayo safi
Sky drive- wale wa microsoft.

Hizo ni baadhi tu ila zipo nyingi. natumaini wengi mtahamasika.
Akhsanteni.

Mimi nimescani alafu nimeweka katika Email yangu,je ni salama au
 
Njia rahisi kabisa kwa documents ni kujitumia email mwenyewe. Ukiingia kama gmail compose email mpya, attach docs andika email hiyo hiyo yako kwenye address ya unayemtumia. Email itaingia from you to you kwenye inbox. Kazi kwisha. Tatizo la hizo online storage hazichelewi kufungwa.
 
Sawa inasaidia lakini je softcopy ya original inatosha? Maana interviews chache nilizowahi ku-attend huwa wanataka original certificate tena upeleke hardcopy.

Anyway thanks kwa idea hii pia, binafsi nimejitumia vyeti vyangu kwenye email yangu.
 
Unachosema ni kweli isipokuwa umesahau kwamba unapo poteza vyeti vyako unajikuta hujui unaanzia wapi kuvipata.
Ila ukisha kuwa na soft copy kazi utakayo kuwa nayo ni kuvi certify tu kwamba ni nakala halisi za vyeti vyako hata ukienda kuomba vingine ni rahisi wao kukusaidia tofauti na ukiwa huna kitu.
 
Mimi nimescani alafu nimeweka katika Email yangu,je ni salama au
Yap ni salama kiasi chake ila kama upo makini tu. Maana mimi niliwahi kujitumia doc fulani hivi sasa katika harakati za kufutafuta zile emails nilizosoma nikajikuta nimefuta na hzo doc kwa bahati mbaya ila kama upo makini basi zipo safe.
 
Habari zenu wana JF, Leo nakuja na njia mbadala ya kutunza vyeti vyetu tumekuwa tukisikia kila siku kwenye radio au kusoma magazetini watu wamepoteza vyeti vyao na ni vyeti muhimu sana katika maisha haya ya kuajiriwa, na kujiajiri.
Wengi wetu njia tunayotumia kuhifadhi nakala halisi ya vyeti vyetu ni makabatini wengine kwenye mabegi na baadhi kwenye safe lock. Ila tunasahau haya ni makaratasi tu lolote linaweza tokea yawe maji, moto, kuibiwiwa au hata kupoteza. Sasa Nawashauri wale wote mnaotaka usalama wa vyeti vyenu mfanye mpango muwe softcopy backup ya vyeti vyenu.
Scan vyeti vyako vyote muhimu na hifadhi online hii itakusaidia hata vile original vikipotea au kuharibiwa na pia unaweza pata access ya nakala ya vyeti vyako popote pale uendapo.

Sehemu za kuhifadhi:
Kuna online storage nyingi sana unazoweza tumia kuhifadhi nakala zako hizi ni baadhi tu:

4shared- hapa wanatoa 15GB free (unafungua account)
Drop box- Nayo free
Google Drive- free
Icloud- wale wa apple products hii nayo safi
Sky drive- wale wa microsoft.

Hizo ni baadhi tu ila zipo nyingi. natumaini wengi mtahamasika.
Akhsanteni.

Mimi nilivyoona hii topic nikajua kunajipya, yaani kutunza , sasa kumbe mheshimiwa unazungumzia kutunza copy!!

Mbona hiyo njia ni ya kitambo sana aisee. Pengine kama yupo mdau anayejua jinsi ya kutunza vyeti orijino tunakusubiri sasa, ila kwa huyu wa copiii aah! wakawaida sana! Samahani lakini kama nimekuboamo!!
 
Hata mimi nilikuwa najua kuna jipya. Soft copy tumeanza kutunza online hata hizi storage hazijaanza. Tulikuwa tunajitumia kwenye email kama attachments. Na hadi leo naweza ku retrieve from my yahoo account. Kaniboa kweli.
 
Hapana hujaboa mtu ila nimeshare hii kwa wale wasiojua na pia copy ya original ilinisadia sana kuandaliwa cheti kingine. namaanaisha process zilikuwa sio ndefu kivileee.
 
Hata mimi nilikuwa najua kuna jipya. Soft copy tumeanza kutunza online hata hizi storage hazijaanza. Tulikuwa tunajitumia kwenye email kama attachments. Na hadi leo naweza ku retrieve from my yahoo account. Kaniboa kweli.

Dah hata mimi umeniboa kweli. Ila kumbuka sio wote kama wewe wengine wameanza kutumia internet mwaka jana, wengine mwaka huu.
 
Kaka nimewasikilza sana Radio Free, wakizungumzia kitu hk, hakuna Usalama kabsa huko juu, kama ni 2vyet tu twa kawaida hatuna privace, zozote za muhmu its Fine, Ila narudia hakuna usalama wowote huko juu,
labda kama kwa 7bu si Watanzania bwana mambo kama hayo n kwambal sana
 
Kwani vyeti navyo ni siri? Kama unaogopa basi weka files zako ndani ya Encrypted ZIP file kabla ya kuupload au tengenza TrueCrypt container, weka files zako kisha upload.
 
Yap ni salama kiasi chake ila kama upo makini tu. Maana mimi niliwahi kujitumia doc fulani hivi sasa katika harakati za kufutafuta zile emails nilizosoma nikajikuta nimefuta na hzo doc kwa bahati mbaya ila kama upo makini basi zipo safe.

Kwa kuongezea, ukishajitumia Email yenye doc zako fungua folder jipya ukiacha inbox, sent item, draft etc. then hifadhi doc/vyeti vyako humo kuondoa uwezekano wa ku-delete bahati mbaya au kuchukua muda mrefu kuzitafuta kama una msg/email nyingi.
 
Unachosema ni kweli isipokuwa umesahau kwamba unapo poteza vyeti vyako unajikuta hujui unaanzia wapi kuvipata.
Ila ukisha kuwa na soft copy kazi utakayo kuwa nayo ni kuvi certify tu kwamba ni nakala halisi za vyeti vyako hata ukienda kuomba vingine ni rahisi wao kukusaidia tofauti na ukiwa huna kitu.

anayepaswa ku-certify lazima aone original ndo agonge mhuri na ku-sign
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom