NJIA SAHIHI ZA KUTOA TAARIFA ZA UDHALILISHAJI KWA KIONGOZI MKUBWA KWA KISASA PLs USHAURI.

Subiri mdogo wako arudi, akusimulie ana kwa ana. Pili wazazi wenu wapo hai au wametangulia mbele za haki? Kama wapo hai ni vema kuwashirikisha ili watoe maoni yao kwani ni wadau mhimu sana kwenye hili? Tatu uwe taratibu usisimulie watu kwani ikijulikana huwezi jua mdogo wako atachukua hatua gani. anaweza kujinyonga. Aibu kubwa hii
 
The Boss ..... sasa kama sheria za nje zina nguvu katika jambo hilo, ilikuwaje Mkuu wa World bank alisalimika na tuhuma za ubakaji..? (Haiyumkini hata sheria za nje nazo ziko weak katika jambo hilo). Sio kwamba nataka kubishana na wewe, lakini siamini kama huyu bwana atafanikiwa kumtia hatiani mtuhumiwa. Dogo alikuwa anajua kitakachomtokea, hiyo kulia lia kwa kaka yake ni kutaka kujikosha tu, labda baada ya kaka yake kumshitukia...............

Ile ya Strauss Khan wewe unaona kasalimika
lakini wengine tunaona 'imem cost dearly'
sio mpaka mtu afungwe ndo sheria uione nzuri
hata mtu kusomewa tu shitaka ni hatua.....hata kama hatafungwa
leo Strauss Khan angekuwa Rais wa Ufaransa by now..
 
Dogo kala au kaliwa????yakheeeee????ukizoea kula vya wenzio na wewe lazima uliwe
 
Ile ya Strauss Khan wewe unaona kasalimika
lakini wengine tunaona 'imem cost dearly'
sio mpaka mtu afungwe ndo sheria uione nzuri
hata mtu kusomewa tu shitaka ni hatua.....hata kama hatafungwa
leo Strauss Khan angekuwa Rais wa Ufaransa by now..
The Boss, in this country, it doesn't work that way.............................
Jamaa ataishia kutishwa na kupewa misukosuko na mwanasiasa ataendelea kupeta kama kawa............................
 
Last edited by a moderator:
The Boss, in this country, it doesn't work that way.............................
Jamaa ataishia kutishwa na kupewa misukosuko na mwanasiasa ataendelea kupeta kama kawa............................

Kweli mkuu lakini hii issue imetokea nje
so kuna nafasi kama akiamua tu kufuatilia
 
Kweli mkuu lakini hii issue imetokea nje
so kuna nafasi kama akiamua tu kufuatilia
The Boss laiti kama aliyetendewa jambo hilo angekuwa ni mdogo wangu, hakika ningemloga huyo mwanasiasa na nisingekuwa na kesi ya kujibu....... Chezea Mtambuzi weye.................... Angeita maji MMA..........LOL
 
Last edited by a moderator:
Ndio hapa nashindwa kushangaa..
Manake huyu msomi wa Masters kama hawezi jisimamia katika hili..sasa hata huo usomi una maana gani??
Any ways hvi hzo picha za dogo alichukua wakti anapakuliwa? au?

Huwa naheshimu sana comment zako lakini vyeti na elimu dunia vinatofautiana fo a great extent
 
nashukuru kwa ushauri wako ila kwa sasa simuamini mtu yoyote aisee jamani vitu vya bure bure hata hivi vi soda mara bia huko kwenye mabaa na club tuwe tunaziangalia kwa makini yawezekana zinatumwa na maneno nyuma yake nilikuwa nasikia tu kwa jirani leo limenikuta aisee ukubwa ni kazi kila siku linakuja jipya matatizo hayaishi linaisha hili linaibuka lile wakati mwingine unawaza ni bora kufa kuliko kuendelea na mateso katika dunia hii unafanya kazi ya maaana unapata pesa za kutosha ila hufurahi hata siku moja kila siku ni mawazo, stress sasa kuna umuhimu gani wa kuishi?? nakata tamaa sana katika maisha yangu sipendi basi linanikuta tu kama kusali nimeshasali sana mpka naona kama hata mungu hanisikilizi tena mdogo wangu wa pekee ameshafanyiwa hivyo nifanyeje tena?? sijui kama wengine wanashida na mawazo namna hiii asiee nimeamini kazi nzuri,pesa na nyumba nzuri sio chombo cha kukupa faraja unatamani hata kunywa sumu aibu hii mdogo wangu nitamfanyaje natamani hata afie huko huko ila naona kama namkufuru mungu kama jamii ikija kugundua nitasemaje?? huyu kiongozi nikionana nae nahisi nitaishia jela yaani kila sehemu ni mawazo,

Kama hujui shetani huwa wanafanya vikao vya kuwatafuta wale ambao hawajawa wateja,ndo mana unaona watu waovu ni kama vile hao huwa wanafanikiwa hiyo ni kwa sbb shetani hana muda nao .majaribu ni mtaji wa imani don't loose hope ukaacha kusali japo ni kweli huwa inafika sehemu unaona Mungu hakusikii.Ningekuwa wew nisingepanga kumkaripia hata kam ulikuwa mpango wao tayari amejuta that is enough.unatakiwa umsamehe kwanza then ndo mpange the way forward halafu this rats are killler,wachawi na kila uchafu nenda taratibu sana ndugu yangu
 
Huwa naheshimu sana comment zako lakini vyeti na elimu dunia vinatofautiana fo a great extent

Natambua kuwa kuna tofauti kati ya elimu ya shule na elimu dunia..
Lakini hata ukiaangalia hii stori..hivi huwezi kuona hata huyu msomi wa masters elimu haijamkomboa!
Anawezaje kufanyiwa jambo asilolipenda half ashindwe kulalamika hata kama ni ughaibuni?
 
Mambo ya kudhalilisha utu wa mtu ni issue nyingine kabisa ndugu yangu hasa katika kutoa taarifa unajua inner moral ni nini?acha kabisa we sikia tu husitake yakukute.unajua kwamba wanawake wengi watu wazima huwa wanabakwa lakini hawasemi ?we acha bwana me hivi nimeona sana mtendwa huwa anahisi kufakufa tu sa zote
 
Mzee wala usijisumbue kutafuta sehemu ya kushitaki, kwanza unafichaficha tuu wala hutaki kuweka wazi ni kiongozi gani huyo, halafu unajidai umekasirika, umekasirika nini sasa kama hata huwezi kumtaja huyo firauni?. Pili huyo dogo lako ni choko na inaonekana siyo mara ya kwanza, kishapigwa na mkia mara kibao tuu na huyo mpuuzi mwenziye
 
Afu eti, anayetakiwa kushtaki ni aliyeliwa tigo au ndugu yake? Je kama kanogewa na "anatakha tenna". Watu wengine kwa kuwekeana kauzibe bana. Khaa!

hivi ukiliwa toiga kwa mara ya kwanza hauumii? Ina maana mdogo wake hakupata maumivu?
 
Uki yawezekana fika huyo dogo anatabia hiyo chafu. Maana kwa fikra rahisi za mwanadamu wa kawaida mwenye elimu ya masters hawezi kukubali jambo kama hilo. Na hata kama hakuelewa nia ya huyo kigogo kuitwa chumbani na kuletewa kinywaji. Bado inanipa walakini tena akamwambie asimwambie mtu halafu yeye dogo akapiga naye picha mtu yule yule asiyetaka siri zake zitoke akakubali kupiga picha.
Nahisi kama dogo kuna mambo ameyaficha hapa. Mchunguze vizuri dogo wako usikute hawa mafirauni ndio uchafu wao wanaofanya sasa labda wamekwaruzana anataka kujifanya kalawitiwa.
 
Polisi magamba unawajua sidhani kama watakuwa na msaada wowote. Ni kweli unaweza kabisa kuhatarisha maisha yako na ya mdogo wako hata ya familia pia. Na maisha yenu yako hatarini hivi sasa. Kabla hujawahiwa kupelekwa mabwepande weka kila kitu hapa pamoja na hizo picha na uandike kila kitu kilichojiri bila kuacha chochote.
 
Nina wasiwasi sana na mdogo wake aisee...hivi kweli mwanaume na akili yako ushindwe kusoma mchezo unavyoenda??mpaka ufikie huko?mmmh kazi ipo!
 
Polisi magamba unawajua sidhani kama watakuwa na msaada wowote. Ni kweli unaweza kabisa kuhatarisha maisha yako na ya mdogo wako hata ya familia pia. Na maisha yenu yako hatarini hivi sasa. Kabla hujawahiwa kupelekwa mabwepande weka kila kitu hapa pamoja na hizo picha na uandike kila kitu kilichojiri bila kuacha chochote.
sikutaka kuchangia kabisa hii thread....lakini wacha tu nichangie...kama BAK alivyosema kwa kuleta hii thread hapa umejiweka ww na mdogo wako kwenye hatari sana...nasisitiza saaana...una option mbili za kufanya
either umwage kila kitu hapa hadharani,at the same time mdogo wako atoe taarifa police huko aliko na pia hapa Tanzania then mwambie dogo arudi haraka...option ya pili tafuta mwanasheria then mueleze kila kitu pia mkabidhi ushahidi wowote uliopo na pia tafuta na mtu yeyote au kiongozi wa dini pia ufanye hivyo kwa mtu mmoja wa familia.. hii itakusaidia hata kama kuna kitu kitatokea kutakua kuna watu wanajua.

kiukweli uko kwenye hatari ambayo huijui tu...unaweza kupatwa na chochote wewe na mdogo wako...kuwa careful and watch your steps,kama kuna uwezekano badilisha namba ya simu na usafiri kidogo nje naamini kama ni kweli hii kitu imetokea kuna watu wtakua wanastalk hii thread na wanaifanyia kazi now....be careful keep your eyes open
 
angekuwa ke nisingesema maana ni kawaida mkuu ila me?? no way hata mimi hili nalo nawasi wasi nalo nahisi alikuwa ameshaona hivi vitendo mwanzoni kwanini hakuniambia mapema? ila kufikia hatua ya kuniambia inawezekana amejisikia vibaya na hakukubaliana na uchafu huo. sasa mkuu nitamsubiri je tatizo kwenye vyombo vyetu ambavyo haviaminiki ni chombo gani stahiki hapo ndipo kwenye utata??

Dah... Pole sana Kaka inaonyesha ni jinsi gani umeumia kwa hicho kitendo alichofanyiwa mdogo wako... Ila ki ukweli na mimi nina mashaka kidogo isije ikawa unatoka povu jiiiiingi kumbe watu walishakubalina tangu awali... Ohooo, angalia bana isije mwisho wa siku ukaonekana mbaya kwa kuingilia starehe za watu....!
 
mtaje sasa unagopa nini ikiwezekana na picha hiyo scan tuwekee hapa
hili jukwaa huru mtambo wa kurekebisha tabia
 
Back
Top Bottom