NJIA SAHIHI ZA KUTOA TAARIFA ZA UDHALILISHAJI KWA KIONGOZI MKUBWA KWA KISASA PLs USHAURI.

Poor me, kwa nini sikuliona hili???

Think Konnie Think

tena inawezekana hata kumshughulikia yote haya walikuwa wanalipana kimya kimya ila wametofautiana terms tu huko nje ndio akaamua kumlipua kwa braza.

Tena ulaya ukibakwa si unabonyeza kengele tu polisi hao washafika.

Am out here kwa kweli.

Mkuu sijasema unamwonea wivu ila labda unamwekea kauzibe. Kwangu mie mtu anayefanya Masters kufanyiwa kitendo hiki bila hiyari, siku hiyohiyo ishu hiyo ingefika polisi hata kabla haijafika kwako. Lakini anapoambiwa asimwambie mtu na akatii huoni kuna kawalakini flani? Najua inaumaje lakini huyo dogo anapaswa kuchunguzwa zaidi, waweza kuta huyo kigogo wamekorofishana ndo maana kakuambia.
 
Najua unaumia sana kama ndugu
lakini kumbuka kila mtu anaamua maisha yake hata kama ni nduguyo.

Msubiri kwanza aje uongee naye ndio ujue cha kufanya, sasa hivi utajiua kwa presha bure.

nashukuru kwa ushauri wako ila kwa sasa simuamini mtu yoyote aisee jamani vitu vya bure bure hata hivi vi soda mara bia huko kwenye mabaa na club tuwe tunaziangalia kwa makini yawezekana zinatumwa na maneno nyuma yake nilikuwa nasikia tu kwa jirani leo limenikuta aisee ukubwa ni kazi kila siku linakuja jipya matatizo hayaishi linaisha hili linaibuka lile wakati mwingine unawaza ni bora kufa kuliko kuendelea na mateso katika dunia hii unafanya kazi ya maaana unapata pesa za kutosha ila hufurahi hata siku moja kila siku ni mawazo, stress sasa kuna umuhimu gani wa kuishi?? nakata tamaa sana katika maisha yangu sipendi basi linanikuta tu kama kusali nimeshasali sana mpka naona kama hata mungu hanisikilizi tena mdogo wangu wa pekee ameshafanyiwa hivyo nifanyeje tena?? sijui kama wengine wanashida na mawazo namna hiii asiee nimeamini kazi nzuri,pesa na nyumba nzuri sio chombo cha kukupa faraja unatamani hata kunywa sumu aibu hii mdogo wangu nitamfanyaje natamani hata afie huko huko ila naona kama namkufuru mungu kama jamii ikija kugundua nitasemaje?? huyu kiongozi nikionana nae nahisi nitaishia jela yaani kila sehemu ni mawazo,
 
Poor me, kwa nini sikuliona hili???

Think Konnie Think

tena inawezekana hata kumshughulikia yote haya walikuwa wanalipana kimya kimya ila wametofautiana terms tu huko nje ndio akaamua kumlipua kwa braza.

Tena ulaya ukibakwa si unabonyeza kengele tu polisi hao washafika.

Am out here kwa kweli.

Come this way babes, mapacha watatu wanapiga hapo Nyama Chabes. Nshafanya reservation ya VIP.
 
pole sana UKI, kweli unaumia sana.

Huna haja ya kufikiri kufa wala kukufuru.
Maisha ni kama movie, unakuja kwa ajili ya kucheza 'role' fulani, role yako ikiisha unaondoka tu.

Hata kama ni mdogo wako wa pekee, ufanye nini?? Limeshatokea, ujiue wewe kwa makosa/matatizo ya mwingine??

Kila mtu awe responsible na maisha yake, mdogo wako ni mtu mzima anauwezo wa kcuhagua la kufanya.

Huwezi jua kwa nini amejifunza vitu vya bure havina maana wakati huu, labda angepata tatizo kubwa zaidi ya hilo.

Kuhusu kuomba na kutojibiwa kwa sasa siwezi sema sana. Inawezekana hata huombi bali unamkaumu Mungu tu. Na inawezekana hili si kwa ajili yako bali kwa ajili yake mwenyewe.
Kumbuka Mungu hujibu kwa wakati wke mwenyewe au unaomba nje ya njozi zako ndio maana hujibiwi.

Sio rahisi kama unavyofikiri, kwa sasa usijaribu kujiuliza kwa nini? Jaribu kuona ni kama fundisho na mwombe Mungu akupe nguvu ya kulipokea kama lilivyo.

Wakati mwingine maishani tunalipa mabaya yaliyofanya na watu wengine kabisa katika koo au kizazi, so all I can say for now stay strong!
 
Ndio hapa nashindwa kushangaa..
Manake huyu msomi wa Masters kama hawezi jisimamia katika hili..sasa hata huo usomi una maana gani??
Any ways hvi hzo picha za dogo alichukua wakti anapakuliwa? au?
labda anaona wivu dogo wake kupakuliwa...sitaki kuamini kuwa huenda anapenda angekuwa yeye...
 
nashukuru kwa ushauri wako ila kwa sasa simuamini mtu yoyote aisee jamani vitu vya bure bure hata hivi vi soda mara bia huko kwenye mabaa na club tuwe tunaziangalia kwa makini yawezekana zinatumwa na maneno nyuma yake nilikuwa nasikia tu kwa jirani leo limenikuta aisee ukubwa ni kazi kila siku linakuja jipya matatizo hayaishi linaisha hili linaibuka lile wakati mwingine unawaza ni bora kufa kuliko kuendelea na mateso katika dunia hii unafanya kazi ya maaana unapata pesa za kutosha ila hufurahi hata siku moja kila siku ni mawazo, stress sasa kuna umuhimu gani wa kuishi?? nakata tamaa sana katika maisha yangu sipendi basi linanikuta tu kama kusali nimeshasali sana mpka naona kama hata mungu hanisikilizi tena mdogo wangu wa pekee ameshafanyiwa hivyo nifanyeje tena?? sijui kama wengine wanashida na mawazo namna hiii asiee nimeamini kazi nzuri,pesa na nyumba nzuri sio chombo cha kukupa faraja unatamani hata kunywa sumu aibu hii mdogo wangu nitamfanyaje natamani hata afie huko huko ila naona kama namkufuru mungu kama jamii ikija kugundua nitasemaje?? huyu kiongozi nikionana nae nahisi nitaishia jela yaani kila sehemu ni mawazo,
nikisoma between lines naona kama ni wewe uliyefanyiwa hivyo ila ukaamua kutudanganya kuwa ni mdogo wako...how comes mtu kamaliza digrii ya kwanza, then kaenda masters bado amlilie bro wake katika kusimami haki yake?...nina wasiwasi ni wewe mwenyewe hasa kwa kuangalia hapo kwenye red...
 
kwahiyo angekuwa mdogo wako mkuu ungekaa kimya tu kuhalalisha mambo hayo sio?? picha wakiwa wamevaa brief wote pamoja.

Sasa huu ni ushahidi gani ambao mtu atauamini kuwa dogo kananiliiwa?
Najua unaumia sana but as Kongosho alivosema dogo wako ndio anatakiwa awe msaada mkubwa kwenye issue kama hii. Kitendo cha kusema nikimpata huyu bosi utamfanyia kitu mbaya kinakosa mashiko kama dogo tayari atakuwa keshaupenda mchezo wenyewe. Sana sana ataachana na huyu bosi na kutafuta mtu mwingine. Kingine jaribu kuangalia je? ni kweli huyu bosi ndiye ameinitiate hii kitu au dogo ndiye aliesaidia mazingira??..Wkati mwingine unaweza kumlaumu bosi kumbe mdogo wako ni punga long time kitambo!..watch out buddy!!
 
Last edited by a moderator:
nikisoma between lines naona kama ni wewe uliyefanyiwa hivyo ila ukaamua kutudanganya kuwa ni mdogo wako...how comes mtu kamaliza digrii ya kwanza, then kaenda masters bado amlilie bro wake katika kusimami haki yake?...nina wasiwasi ni wewe mwenyewe hasa kwa kuangalia hapo kwenye red...

mkuu hapo kwenye red nzaungumzia maisha kwa ujumla maana mimi ni mtu mzima mdogo wangu na mama yangu ndio wananitegemea kwa kila kitu maisha yamekuwa ni stress sana kwangu leo linamtokea mdogo wangu hili utasikia mama yangu linamtokea jambo jingine ambalo yote yanahitajika msaada kwangu na hata mimi mwenyewe matatizo ya kawaida hunikuta ila sio hayo sasa nilikuwa namtegemea mdogo wangu amalize aje tushiriki pamoja katika maendeleo kafanyiwa kitendo hicho so nipo peke yangu tena nifanyeje na nisipoangalia mdogo wangu atapenda mchezo huu na kuzoea ingawa sijajihakikishia bado sasa hapo ndipo najiuliza why me tu?? kwanini mimi ndio niwe na majkukumu mazito haya?? natarajia kuwa nafamilia hivi karibuni nazidi kujiongezea majukumu ndio kinanchoniumiza kicha sana katika kichwa changu na ningekuwa ni mimi ili iweje kujianika hapa?? nimeomba ushauri wa busara na sio kutukanana humu please
 
Afu eti, anayetakiwa kushtaki ni aliyeliwa tigo au ndugu yake? Je kama kanogewa na "anatakha tenna". Watu wengine kwa kuwekeana kauzibe bana. Khaa!

mimi nadhani nyie mnaelewa!

mimi ndio vumbi na giza tupu!

kipindupindu zanzibar, bara unaharisha nini?

Asprin za asubuhi!
 
Last edited by a moderator:
mkuu haijakutokea kwenye maisha yako please usiseme hivyo so unaona namuonea wivu mdogo wangu?? we unaona ni kitu cha kawaida hichi??? mnaenda wapi watanzania??? sawa kila mtu ana uhuru wa kufanya mambo yake ila sio kwa mdogo wangu please

Hata mimi sitofautiani na mzee mwenzangu Asprin.

Kwa nini mhusika asichukue hatua mwenyewe au amekupa power of attorney kufanya hivyo kwa niaba yake...Na kwa nini?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
angekuwa ke nisingesema maana ni kawaida mkuu ila me?? no way hata mimi hili nalo nawasi wasi nalo nahisi alikuwa ameshaona hivi vitendo mwanzoni kwanini hakuniambia mapema? ila kufikia hatua ya kuniambia inawezekana amejisikia vibaya na hakukubaliana na uchafu huo. sasa mkuu nitamsubiri je tatizo kwenye vyombo vyetu ambavyo haviaminiki ni chombo gani stahiki hapo ndipo kwenye utata??
Mimi siwezi kukusaidia maana wewe mwenyeji unashindwa kujisaidia. Wewe unamlinda mhalifu, halafu mimi nianze kubwabwaja baadaye uje unigeuke? Watu wanakuambia tutajie hata huyu mtu yupo kundi gani, mbunge, waziri ili tukupe mawazo hutaki
 
kama imetokea nje ya nchi haswaa Ulaya basi ndo rahisi kushitaki
huitaji kushitaki bongo
shitaka ni kwenye nchi husika
mwambie dogo akaripoti polisi haraka
angalau waanze uchunguzi
haraka saana please
Mkuu The Boss dogo alishaoga, hakuna ushahidi hapo....................
Si kuna tangazo linasema ukibakwa hakunakuoga ili usipoteze ushahidi, kupiga picha na mhusika bado haiwezi kuwa ni ushahidi wa kumtia hatiani mtuhumiwa............ sana sana akithubutu tu, atageuziwa kibao kwa kosa la defamation.................... upo hapo ?
 
mkuu Mtambuzi
hii imetokea nje ya TZ hii ina maana
inategemeana mno na sheria za nchi husika
si umeona mapadriwakishtakiwa baada ya miaka mingi kupita?
so hiyo ya kuoga ni TZ zaidi
nchi zingine unaweza kukuta security camera ziliona kitu,au muhudumu wa hoteli aliona kitu
na kadhalika...so bora aende polisi huko akaripoti
 
The Boss ..... sasa kama sheria za nje zina nguvu katika jambo hilo, ilikuwaje Mkuu wa World bank alisalimika na tuhuma za ubakaji..? (Haiyumkini hata sheria za nje nazo ziko weak katika jambo hilo). Sio kwamba nataka kubishana na wewe, lakini siamini kama huyu bwana atafanikiwa kumtia hatiani mtuhumiwa. Dogo alikuwa anajua kitakachomtokea, hiyo kulia lia kwa kaka yake ni kutaka kujikosha tu, labda baada ya kaka yake kumshitukia...............
 
Back
Top Bottom