SoC01 Njia sahihi za kulea watoto ili waje kuwa viongozi wema na wenye kutii sheria za nchi

Stories of Change - 2021 Competition

safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
11,161
15,839
Habari yako ndugu msomaji.

Katika mambo yanayolalamikiwa na jamii yetu hasa zama hizi basi ni kuwa na viongozi ambao hawana maadili na wala hawafuati sheria mbalimbali za nchi vile zinavyotaka.

Jambo hili sio tatizo dogo kama tunavyolifikiria,na wala sio mazao ya malezi ya mwaka mmoja au miwili iliyopita,bali ni matunda ya muda mrefu ya tabia alizokuzwa nazo.

Sisi kama taifa la watanzania tunalo jukumu la kuhakikisha kwanza tunapata watu wenye kutii sheria bila shuruti,wenye kutii sheria bila ya kutumia nguvu ili watii sheria hizo.

kwa masikitiko tumekuwa na watu ambao hawatii sheria bila ya shuruti.

Kuwa na watu wa aina hii ni hasara na hatari kwa taifa kwa sababu watasababisha kila sheria ambayo itatungwa ionekane haifai kwa sababu ya wao kutofuata sheria za nchi.

Kila sifa ya kiongozi inaanzia utotoni kama vile uadilifu,uungwana,utii,hekima n.k haya yote huanzia utotoni..

Kama tunavyofahamu ya kwamba samaki mkunje angali mbichi,je sisi kama taifa tumejiandaa vipi kuzalisha watoto ambao watakuja kuwa viongozi bora na watiifu hapo baadae ?

Haya ni mambo ya kufanya kwa mwanao au mtoto yeyote ambaye unayo nafasi ya kumlea kuhakikisha kwamba atakuwa mtiifu na kiongozi bora hapo baadae.

1. hakikisha wewe mzazi ama mlezi unakuwa mkweli kwa mtoto katika mambo ambayo hata ufanye vipi basi baadae atakuja kujua ukweli wa mambo hayo.

Mfano.
Huna haja ya kumuambia mtoto kwamba watoto wanaozaliwa wananunuliwa dukani wakati jambo hili atakuja kuujua ukweli hapo baadae.

Kama mtoto anaambiwa kwamba ule ni moto na anatahadharishwa tokea utotoni Basi na jambo hili aambiwe ukweli pia.

Kumdanganya sasa hivi ni kuwaandaa waongo wa baadae,ukimjenga katika ukweli basi atakuwa kiongozi mkweli baadae na ukweli ni sifa muhimu kwa kiongozi.

2. Mshirikishe katika mambo madogo ambayo ungeweza kuamua wewe mwenyewe bila yeye kwa lengo la kumkuza awe mtu wa kushauriana na watu asiwe mtu wa analotaka yeye ndio liwe.

Mfano. Muulize tu hivi mwanangu kununua nguo tatu za sikukuu na kununua mbili na pesa inayobaki tukuwekee akiba kipi bora ?

Lengo ni kumfanya awe mpenda majadiliano,na hawezi kuwa mtu wa aina hiyo mpaka awe amekulia katika hali hiyo.

Lengo : tunahitaji viongozi wapenda majadiliano.

3. anapokosea mrekebishe kwa hoja na usitumie nguvu.hii itamfanya ajifunze kwamba sio kila kosa mtu anatakiwa aadhibiwe bali kuna mambo ya kufahamishwa.

Mfano. Akirudi usiku nyumbani mfahamishe muambie madhara ya kurudi usiku nyumbani badala ya kumpiga.

Lengo : tunataka viongozi wachache wa kuadhibu na kutesa watu.

4. Akiwa ni mkaidi katika jambo ulilomuambia mara nyingi basi muonye kwa adhabu ambayo inaendana na hali yake.

Lengo : Hii itamfanya baadae akiwa kiongozi asimfunge mtu miaka 10 kwa kosa la kuiba kuku.

5. Hakikisha anapokuomba kitu na ahadi ulizomuahidi unamtekelezea.
Mfano. Ukimuahidi kumnunulia baiskeli munulie kweli na umuambie "mwanangu kama sikutekeleza ahadi utaumia" itamfanya aone kwamba kutotekeleza ahadi kunamuumiza aliyeahidiwa.

Lengo : itamfanya yeye awe ni mtu mtekeleza ahadi kwa raia wake

6. Tunga visheria vidogo vidogo hapo nyumbani na wewe uwe wa kwanza kuvifuata visheria hivyo bila kuvunja.

Mfano. Tunga sheria kila mtu chombo anacholia chakula basi anatakiwa akoshe,alafu wewe kuwa kinara wa kufuata sheria hii na umuelezee faida za sheria hiyo kama vile kupunguza mzigo wa vyombo vingi(na sheria nyinginezo)

Lwngo : itamfanya azowee kufuata sheria bila kulazimishwa na mtu hata kaiwa kiongozi.

7. Hakikisha unamuonya na kumrekebisha akiwa peke yake tu,usimkaripie kwenye watu wengi.

Wakati mkiwa peke yenu umuambie kwamba nakugombeza tukiwa wawili tu kwa sababu wangekuwa wengine ungejisikia vizuri ? Lazima atajibu hapana.

Basi hiyo ndio iwe taratibu kila akikosea muite pembeni usiseme kwamba hivyo wanatakiwa wafanyiwe watu wazima hapana,watoto wanahitaji kufanyiwa ili nao waje wafanye hivyo baadae.

Lengo : awe kiongozi anayeepuka kuwarekebisha wenzie kwenye hadhira na kuwafedhehesha.

8. Hakikisha unamuuliza mwanao akupe ufafanuzii juu ya jambo alilosema hata kama unajua maana yake.

Mfano. " baba leo tumemsoma chura shuleni" muulize chura ndio nani ?
Hakikisha anakufafanulia na akishindwa mfahamishe.

Lengo : itamfanya yeye asiwe mtu wa chuki pale atakapokutana na watu wenye kumhoji akiwa kiongozi hapo baadae.

9. Hakikisha unapokosea jambo useme kwamba umekosea mbele ya mwanao usione aibu.

Lengo : itamfanya aone kukosea ni jambo la kawaida na wala sio fedheha kusema umekosea na kuepuka misemo ya " mkubwa hakosei" na atakuwa wempesi kuomba radhi pale anapokosea katika uongozi wake.

10. hakikisha haumtukani tusi lolote lile hata mkiwa peke yenu.

Nikupe siri kwamba hakuna faida hata moja ya tusi unalomtukana mtoto,badala yake itamzidishia misamiati mibaya kichwani mwake.

Lengo : kuepusha viongozi wenye matusi na maneno ya kifedhuli katika jamii.

11. Akiongea na wewe msikilize kwa makini.hii itamfanya na yeye aige umakini huo pale anapoongea na wengine.

Lengo : awe kiongozi mwenye usikivu makini kwa wananchi wake.

12. Panga kununua kitu kisicho muhimu mbele yake kisha ghairisha upange kununua kitu cha muhimu hapo hapo mbele yake.

Mfano. Sema huku anasikia "nataka kununua biskuti ya alfu 5000" kisha ghairisha sema " lakini biskuti ya 5000 nitakula itaisha ila viatu nitavaa muda mrwfu.

Lengo : awe kiongozi anayeepuka matumizi yasiyo na faida na kufanya mambo ya msingi kwa raia wake.

13. Hakikisha unajishusha kwa watu ambao mumewazidi status ya maisha na onesha kuwaheshimu mbele yake.

Kama muna jirani hohehahe basi siku kadhaa mpe pesa aandae chakula huyo jirani kisha nyie na mtoto wenu muende kula kwao yule jirani na mumuambie mtoto wenu kwamba jirani kayualika chakula.

Lengo : itamfanya asiwadharau aliowazidi na wala kudharau wito wao.

14. Usimfundishe kuomba pesa ili baadae asijekuwa kiongozi mpenda pesa na rushwa akawa mvunja sheria namba moja.

Kamwe muepushe na tabia ya kuomba pesa tokea akiwa mdogo,na siku kaikuomba hakikisha ana hoja za msingi.

HITIMISHO
Hayo ni baadhi ya mambo ambayo ukiyafuata na kuyafanya katika maisha yako unapokuwa na mwanao basi kuna asilimia kubwa mtoto huyu akaja kuwa kiongozi bora kabisa.

Lengo ni kufanya mazuri yawe mengi kuliko mabaya na wala hatuwezi kufikia lengo la kuondoa mabaya yote.

Asanteni sana nakaribisha maoni.
 
Mtoto anajifunza tokea anaozaliwa.
 
Mkuu yote umeeleza vizuri sana ila kuja jambo moja umesahau imani/dini kama muislamu mpeleke madrasa na kama ni Mkristo mpeleke kanisa kila wiki na mkalilishe mafungu ya neno la Mungu na kuomba usiku kabla ya kulala na asubuhi baada ya kuamka mweleze Mungu wa mbinguni ndiye kiongozi wetu na anatulinda kila siku zidi ya mabaya !!
Asante Sana !!!
 
Ni sahihi kabisa mkuu ulichosema.

Ni jambo muhimu pia la kuongeza mkuu
 
Mkuu yote umeeleza vizuri sana ila kuja jambo moja umesahau imani/dini kama muislamu mpeleke madrasa na kama ni Mkristo mpeleke kanisa kila wiki na mkalilishe mafungu ya neno la Mungu na kuomba usiku kabla ya kulala na asubuhi baada ya kuamka mweleze Mungu wa mbinguni ndiye kiongozi wetu na anatulinda kila siku zidi ya mabaya !!
Asante Sana !!!
Lakini dini hatakiw akariri anatakiwa aelewe.

Elimu yoyote ukikariri basi unakuwa kana kwamba umejiongezea mzigo.

Watoto tunatakiwa tuwafundishe na tusiwakaririshe dini,yani ni sawa na mwanafunzi akawa anakariri masomo ya darasani huyu inakuwa ngumu kufaulu mpaka aelewe kwanza...
 
Akija kwako mzazi usimdanganye tena bali muambie ukwi wa mambo na umuambie kwa nini mwalimu anadanganya watu.

Umuambie kwamba mnadanganywa kwa sababu mwalimu hataki muharibikiwe n.k

Yaani mzazi asimkandie mwalimu kwwa mwanawe bali mzazi ampe udhuru mwalimu kwamba amewaambia kadhaa kwa nia nzuri tu.

Hapo mtoto anapambanukiwa na ulimwengu.

Nakumbuka wakati namfundisha mdogo wangu ishu ya janaba la zinaa.

Nikamuambia kwamba janaba la zinaa ukikoga linatoka,yeye akaniambia mbona kuna masheikh nawasikia wanasema janaba la zinaa hata ukoge vipi halitoki mpaka zipite siku 40.

Nikamuambia kwamba masheikh hao wametumia hikma ili mtu upate hofu usizini wala hawana lengo baya kusema hivyo, lakini wewe unasoma unatakiwa ujue kwa nini wanasema hivyo.

Yule kijana akatoka ameridhika na anawaheshimu wale masheikh kuliko ningemuambia masheikh waongo haooooooooo.

Hahahhaa
Walimu wamewaambia watoto wapeleke mazagazaga kama chips,soda(take away) juice mbalimbali, na wazaz wanaandalia watoto. Makuku ya kukaanga, pilau,mayai ya kuchemsha, mapopcon, nyama za kukaanga nk watoto wanaiona kabisa walimu wanabeba mavitu na kuviingiza kwenye magari yao na kutokomea nyumbn. . Nimemtetea Sana.

Nimemtetea walimu wetu weeee waapi mtoto anasema. '.... you can't tell me otherwise nimeona walimu wanachukua vitu wanabeba.... Naambiwa ".....dad you can't convince me. I know what you're trying to help....' Naonekana natetea wizi

Hivi hapo Mimi nifanyeje- mtoto> kaona ameshaona kitu alichokifanya mwalimu
 
Walimu wamewaambia watoto wapeleke mazagazaga kama chips,soda(take away) juice mbalimbali, na wazaz wanaandalia watoto. Makuku ya kukaanga, pilau,mayai ya kuchemsha, mapopcon, nyama za kukaanga nk watoto wanaiona kabisa walimu wanabeba mavitu na kuviingiza kwenye magari yao na kutokomea nyumbn. . Nimemtetea Sana.

Nimemtetea walimu wetu weeee waapi mtoto anasema. '.... you can't tell me otherwise nimeona walimu wanachukua vitu wanabeba.... Naambiwa ".....dad you can't convince me. I know what you're trying to help....' Naonekana natetea wizi

Hivi hapo Mimi nifanyeje
Hhhhhh mkuu stori yako ina relate vipi na mada yetu
 
Habari yako ndugu msomaji.

Katika mambo yanayolalamikiwa na jamii yetu hasa zama hizi basi ni kuwa na viongozi ambao hawana maadili na wala hawafuati sheria mbalimbali za nchi vile zinavyotaka.

Jambo hili sio tatizo dogo kama tunavyolifikiria,na wala sio mazao ya malezi ya mwaka mmoja au miwili iliyopita,bali ni matunda ya muda mrefu ya tabia alizokuzwa nazo.

Sisi kama taifa la watanzania tunalo jukumu la kuhakikisha kwanza tunapata watu wenye kutii sheria bila shuruti,wenye kutii sheria bila ya kutumia nguvu ili watii sheria hizo.

kwa masikitiko tumekuwa na watu ambao hawatii sheria bila ya shuruti.

Kuwa na watu wa aina hii ni hasara na hatari kwa taifa kwa sababu watasababisha kila sheria ambayo itatungwa ionekane haifai kwa sababu ya wao kutofuata sheria za nchi.

Kila sifa ya kiongozi inaanzia utotoni kama vile uadilifu,uungwana,utii,hekima n.k haya yote huanzia utotoni..

Kama tunavyofahamu ya kwamba samaki mkunje angali mbichi,je sisi kama taifa tumejiandaa vipi kuzalisha watoto ambao watakuja kuwa viongozi bora na watiifu hapo baadae ?

Haya ni mambo ya kufanya kwa mwanao au mtoto yeyote ambaye unayo nafasi ya kumlea kuhakikisha kwamba atakuwa mtiifu na kiongozi bora hapo baadae.

1. hakikisha wewe mzazi ama mlezi unakuwa mkweli kwa mtoto katika mambo ambayo hata ufanye vipi basi baadae atakuja kujua ukweli wa mambo hayo.

Mfano.
Huna haja ya kumuambia mtoto kwamba watoto wanaozaliwa wananunuliwa dukani wakati jambo hili atakuja kuujua ukweli hapo baadae.

Kama mtoto anaambiwa kwamba ule ni moto na anatahadharishwa tokea utotoni Basi na jambo hili aambiwe ukweli pia.

Kumdanganya sasa hivi ni kuwaandaa waongo wa baadae,ukimjenga katika ukweli basi atakuwa kiongozi mkweli baadae na ukweli ni sifa muhimu kwa kiongozi.

2. Mshirikishe katika mambo madogo ambayo ungeweza kuamua wewe mwenyewe bila yeye kwa lengo la kumkuza awe mtu wa kushauriana na watu asiwe mtu wa analotaka yeye ndio liwe.

Mfano. Muulize tu hivi mwanangu kununua nguo tatu za sikukuu na kununua mbili na pesa inayobaki tukuwekee akiba kipi bora ?

Lengo ni kumfanya awe mpenda majadiliano,na hawezi kuwa mtu wa aina hiyo mpaka awe amekulia katika hali hiyo.

Lengo : tunahitaji viongozi wapenda majadiliano.

3. anapokosea mrekebishe kwa hoja na usitumie nguvu.hii itamfanya ajifunze kwamba sio kila kosa mtu anatakiwa aadhibiwe bali kuna mambo ya kufahamishwa.

Mfano. Akirudi usiku nyumbani mfahamishe muambie madhara ya kurudi usiku nyumbani badala ya kumpiga.

Lengo : tunataka viongozi wachache wa kuadhibu na kutesa watu.

4. Akiwa ni mkaidi katika jambo ulilomuambia mara nyingi basi muonye kwa adhabu ambayo inaendana na hali yake.

Lengo : Hii itamfanya baadae akiwa kiongozi asimfunge mtu miaka 10 kwa kosa la kuiba kuku.

5. Hakikisha anapokuomba kitu na ahadi ulizomuahidi unamtekelezea.
Mfano. Ukimuahidi kumnunulia baiskeli munulie kweli na umuambie "mwanangu kama sikutekeleza ahadi utaumia" itamfanya aone kwamba kutotekeleza ahadi kunamuumiza aliyeahidiwa.

Lengo : itamfanya yeye awe ni mtu mtekeleza ahadi kwa raia wake

6. Tunga visheria vidogo vidogo hapo nyumbani na wewe uwe wa kwanza kuvifuata visheria hivyo bila kuvunja.

Mfano. Tunga sheria kila mtu chombo anacholia chakula basi anatakiwa akoshe,alafu wewe kuwa kinara wa kufuata sheria hii na umuelezee faida za sheria hiyo kama vile kupunguza mzigo wa vyombo vingi(na sheria nyinginezo)

Lwngo : itamfanya azowee kufuata sheria bila kulazimishwa na mtu hata kaiwa kiongozi.

7. Hakikisha unamuonya na kumrekebisha akiwa peke yake tu,usimkaripie kwenye watu wengi.

Wakati mkiwa peke yenu umuambie kwamba nakugombeza tukiwa wawili tu kwa sababu wangekuwa wengine ungejisikia vizuri ? Lazima atajibu hapana.

Basi hiyo ndio iwe taratibu kila akikosea muite pembeni usiseme kwamba hivyo wanatakiwa wafanyiwe watu wazima hapana,watoto wanahitaji kufanyiwa ili nao waje wafanye hivyo baadae.

Lengo : awe kiongozi anayeepuka kuwarekebisha wenzie kwenye hadhira na kuwafedhehesha.

8. Hakikisha unamuuliza mwanao akupe ufafanuzii juu ya jambo alilosema hata kama unajua maana yake.

Mfano. " baba leo tumemsoma chura shuleni" muulize chura ndio nani ?
Hakikisha anakufafanulia na akishindwa mfahamishe.

Lengo : itamfanya yeye asiwe mtu wa chuki pale atakapokutana na watu wenye kumhoji akiwa kiongozi hapo baadae.

9. Hakikisha unapokosea jambo useme kwamba umekosea mbele ya mwanao usione aibu.

Lengo : itamfanya aone kukosea ni jambo la kawaida na wala sio fedheha kusema umekosea na kuepuka misemo ya " mkubwa hakosei" na atakuwa wempesi kuomba radhi pale anapokosea katika uongozi wake.

10. hakikisha haumtukani tusi lolote lile hata mkiwa peke yenu.

Nikupe siri kwamba hakuna faida hata moja ya tusi unalomtukana mtoto,badala yake itamzidishia misamiati mibaya kichwani mwake.

Lengo : kuepusha viongozi wenye matusi na maneno ya kifedhuli katika jamii.

11. Akiongea na wewe msikilize kwa makini.hii itamfanya na yeye aige umakini huo pale anapoongea na wengine.

Lengo : awe kiongozi mwenye usikivu makini kwa wananchi wake.

12. Panga kununua kitu kisicho muhimu mbele yake kisha ghairisha upange kununua kitu cha muhimu hapo hapo mbele yake.

Mfano. Sema huku anasikia "nataka kununua biskuti ya alfu 5000" kisha ghairisha sema " lakini biskuti ya 5000 nitakula itaisha ila viatu nitavaa muda mrwfu.

Lengo : awe kiongozi anayeepuka matumizi yasiyo na faida na kufanya mambo ya msingi kwa raia wake.

13. Hakikisha unajishusha kwa watu ambao mumewazidi status ya maisha na onesha kuwaheshimu mbele yake.

Kama muna jirani hohehahe basi siku kadhaa mpe pesa aandae chakula huyo jirani kisha nyie na mtoto wenu muende kula kwao yule jirani na mumuambie mtoto wenu kwamba jirani kayualika chakula.

Lengo : itamfanya asiwadharau aliowazidi na wala kudharau wito wao.

14. Usimfundishe kuomba pesa ili baadae asijekuwa kiongozi mpenda pesa na rushwa akawa mvunja sheria namba moja.

Kamwe muepushe na tabia ya kuomba pesa tokea akiwa mdogo,na siku kaikuomba hakikisha ana hoja za msingi.

HITIMISHO
Hayo ni baadhi ya mambo ambayo ukiyafuata na kuyafanya katika maisha yako unapokuwa na mwanao basi kuna asilimia kubwa mtoto huyu akaja kuwa kiongozi bora kabisa.

Lengo ni kufanya mazuri yawe mengi kuliko mabaya na wala hatuwezi kufikia lengo la kuondoa mabaya yote.

Asanteni sana nakaribisha maoni.
Kuna la kujifunza hapa kama mzazi. Thank you mtoa mada

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Hayo ni baadhi ya mambo ambayo ukiyafuata na kuyafanya katika maisha yako unapokuwa na mwanao basi kuna asilimia kubwa mtoto huyu akaja kuwa kiongozi bora kabisa.

Lengo ni kufanya mazuri yawe mengi kuliko mabaya na wala hatuwezi kufikia lengo la kuondoa mabaya yote.
You are exactly on point. Exactly.

Haya mambo yanajengwa kutoka chini mpaka juu. Mi nasemaga kama umeamua kuwa mzazi, amua kuwa mzazi bora.

Viongozi wetu ni wawakilishi wa jamii yetu, kama jamii ikibadilika kutokea chini basi tutaona na viongozi wakireflect hali hiyohiyo.

We, all of us we make things be the way they are💪
 
Mzee mbona ujamuweka Mungu apo au mtoto atamtafuta Mungu ye mwenyewe
 
Back
Top Bottom