caine
JF-Expert Member
- Jul 4, 2015
- 563
- 1,275
1: kuzidisha namba kubwa kwa haraka. Kama namba zipo chini ya 100 basi chukua 100 toa hizo namba alafu jumla ya majibu yake tolea 100 hio itakua ni namba ya kwanza ya jibu lakini pia chukua hizo namba ulizopata baada ya kutoa kwa 100 zidisha utapata jibu la pili.
2. Mfundishe mwanao njia rahisi ya kuhesabu table ya 9 kwa urahisi.
3. Kujumlisha na kutoa hesabu za sehemu. Unazidisha namba ya chini upande wa kulia na namba ya juu upande wa kushoto. Then unajumlisha namba ya chini upande wa kushoto na namba ya juu upande wa kulia baada ya hapo unazidisha namba za chini za pande zote mbili yaani kulia na kushoto kama ni kujumlisha utajumlisha majibu yako ya namba za juu kisha jibu la namba za chini litabaki hivyo hivyo na kama ni kutoa utatoa majibu yako ya namba za juu wakati jibu la chini litabaki hivyo hivyo.
4. Kuzidisha namba zozote kwa 11 zinazo anzia namba mbili na kuendelea. Mfano 11 × 32 n.k. jumlisha namba unazozidishia kwa 11 alafu weka namba moja kulia na nyingine kushoto yatakua ni majibu.
5. Jinsi ya kutafuta asilimia ya kitu mfano tafuta 40% ya 300. Unachukua namba zote unagawanya kwa 10 alafu unazidisha majibu yake.
6. Jinsi ya kubadilisha celsius kwenda kwenye Fahrenheit.
Njia zingine nitaendelea kesho zipo njia zaidi ya 8 ambazo zitamsaidia mtoto wako asione somo la hesabu ni gumu. Karibuni sana.