Njia rahisi za kumfundishia mtoto hesabu

caine

JF-Expert Member
Jul 4, 2015
563
1,275
1: kuzidisha namba kubwa kwa haraka. Kama namba zipo chini ya 100 basi chukua 100 toa hizo namba alafu jumla ya majibu yake tolea 100 hio itakua ni namba ya kwanza ya jibu lakini pia chukua hizo namba ulizopata baada ya kutoa kwa 100 zidisha utapata jibu la pili.
69009cf85212684967bb19587d3aa9c4.jpg

2. Mfundishe mwanao njia rahisi ya kuhesabu table ya 9 kwa urahisi.
a449e6bbf3203ff9bd024114f08adf14.jpg

3. Kujumlisha na kutoa hesabu za sehemu. Unazidisha namba ya chini upande wa kulia na namba ya juu upande wa kushoto. Then unajumlisha namba ya chini upande wa kushoto na namba ya juu upande wa kulia baada ya hapo unazidisha namba za chini za pande zote mbili yaani kulia na kushoto kama ni kujumlisha utajumlisha majibu yako ya namba za juu kisha jibu la namba za chini litabaki hivyo hivyo na kama ni kutoa utatoa majibu yako ya namba za juu wakati jibu la chini litabaki hivyo hivyo.
8ac4065a5dd9abb57a248403257a63a8.jpg

4. Kuzidisha namba zozote kwa 11 zinazo anzia namba mbili na kuendelea. Mfano 11 × 32 n.k. jumlisha namba unazozidishia kwa 11 alafu weka namba moja kulia na nyingine kushoto yatakua ni majibu.
9e6b0cad719f94234c1976132e1495d6.jpg

5. Jinsi ya kutafuta asilimia ya kitu mfano tafuta 40% ya 300. Unachukua namba zote unagawanya kwa 10 alafu unazidisha majibu yake.
de0e789070177aa81825b14bcc1aa7a2.jpg

6. Jinsi ya kubadilisha celsius kwenda kwenye Fahrenheit.
fe614a153ff609a210f45ef32b03762b.jpg

Njia zingine nitaendelea kesho zipo njia zaidi ya 8 ambazo zitamsaidia mtoto wako asione somo la hesabu ni gumu. Karibuni sana.
 
Ahsante mkuu
Karibu sana mkuu. Njia zingine nitaendelea kulingana na uhitaji wa watu kama watapendezewa na elimu hii. Ni wajibu wetu kama wazazi kuwasaidia watoto wetu jukumu hili tusiwatwike waalimu peke yao. Pia kama kuna walimu watakao pitia andiko hili basi wanaweza kufaidika na njia mbadala za kuwasaidia watoto wetu wawapo mashuleni.
 
Wewe shusha tu makinikia, hapa vinaishi watafaidi wote amabo wapo humu na hata ambao bado hawajajiunga watakuta
 
Zinaeleweka lakini huwezi kumfundisha mtoto wa darasa2 kwa matendo mengi ya hesabu kiasi hiki utamchanganya
Labda uzirahisishe katika matendo(utendaji/vitendo)
 
Hzo njia mtoto haziwez kumsaidia,kwan zina changamoto nyingi ndg,kwa mf.ktk multiplication table tuna mpaka table ya 12,Lakini umeleta table 9 pekee so itabid akariri JINSI ya kujua tab 9 huku nyingine zote zikiwa ni changamoto.Pia ktk kujumlisha seheme mtoto hawez kufundishwa matendo yote hayo ni bora abaki na kutafuta LCM kwa multiples then aendelee.
Ila una idea nzuri sema ifanyie kazi kutambua changamoto ambazo ni nyingi.
N:B,Tusitafute njia ya mkato kufika tuendako kwan njia hiyo yaweza kutufanya tuchelewe zaid au tusifike kabisa huko tuendako.
 
Kwa upande wangu naona kwa mtot zile njia za kawaida ni rahisi zaidi kuliko hizoulizoweka hapo.
 
Hizi ni njia nzuri lakini si za kumfundishia mtoto hesabu hata elewa kamwe.Mimi kama mzazi nimechukua muda kuelewa hiyo njia
 
Hizi njia ni za prisentesheni kabisaa chuo kikuu hasa kama unatafuta phd,
Ukitaka mwanao awe kilaza mfundishe hizi njia asee
 
Hzo njia mtoto haziwez kumsaidia,kwan zina changamoto nyingi ndg,kwa mf.ktk multiplication table tuna mpaka table ya 12,Lakini umeleta table 9 pekee so itabid akariri JINSI ya kujua tab 9 huku nyingine zote zikiwa ni changamoto.Pia ktk kujumlisha seheme mtoto hawez kufundishwa matendo yote hayo ni bora abaki na kutafuta LCM kwa multiples then aendelee.
Ila una idea nzuri sema ifanyie kazi kutambua changamoto ambazo ni nyingi.
N:B,Tusitafute njia ya mkato kufika tuendako kwan njia hiyo yaweza kutufanya tuchelewe zaid au tusifike kabisa huko tuendako.
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako.
 
1: kuzidisha namba kubwa kwa haraka. Kama namba zipo chini ya 100 basi chukua 100 toa hizo namba alafu jumla ya majibu yake tolea 100 hio itakua ni namba ya kwanza ya jibu lakini pia chukua hizo namba ulizopata baada ya kutoa kwa 100 zidisha utapata jibu la pili.
69009cf85212684967bb19587d3aa9c4.jpg

2. Mfundishe mwanao njia rahisi ya kuhesabu table ya 9 kwa urahisi.
a449e6bbf3203ff9bd024114f08adf14.jpg

3. Kujumlisha na kutoa hesabu za sehemu. Unazidisha namba ya chini upande wa kulia na namba ya juu upande wa kushoto. Then unajumlisha namba ya chini upande wa kushoto na namba ya juu upande wa kulia baada ya hapo unazidisha namba za chini za pande zote mbili yaani kulia na kushoto kama ni kujumlisha utajumlisha majibu yako ya namba za juu kisha jibu la namba za chini litabaki hivyo hivyo na kama ni kutoa utatoa majibu yako ya namba za juu wakati jibu la chini litabaki hivyo hivyo.
8ac4065a5dd9abb57a248403257a63a8.jpg

4. Kuzidisha namba zozote kwa 11 zinazo anzia namba mbili na kuendelea. Mfano 11 × 32 n.k. jumlisha namba unazozidishia kwa 11 alafu weka namba moja kulia na nyingine kushoto yatakua ni majibu.
9e6b0cad719f94234c1976132e1495d6.jpg

5. Jinsi ya kutafuta asilimia ya kitu mfano tafuta 40% ya 300. Unachukua namba zote unagawanya kwa 10 alafu unazidisha majibu yake.
de0e789070177aa81825b14bcc1aa7a2.jpg

Njia zingine nitaendelea kesho zipo njia zaidi ya 8 ambazo zitamsaidia mtoto wako asione somo la hesabu ni gumu. Karibuni sana.
Mkuu njia ya kwanza sio sahihi... Mfano chukua 69 x 75 jibu haliji ukitumia hiyo njia uliyotueleza hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom