Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
Harufu ya kwapa husababishwa na bakteria ambao huvunjavunja protein iliyopo kwenye jasho na kutengeneza asidi yenye harufu kali.
Dawa ni kuua hao bakteria au kuzuia wasizaliane.
Hizi deodorants huwa zinafanya mazingira ya kwapa yawe ya kiasidiasidi hivyo bakteria wanashindwa kuzaliana lakini inasemekana zinaleta kansa ya matiti na tezi dume.
Njia rahisi ni kutumia spirit kwa kupaka muda mfupi kabla ya kuoga spirit huua bakteria fasta sana na hauhitaji kupaka kila siku. Unaweza paka kwa wiki mara mbili au moja. Pia bei yake ni ndogo sana kama buku mbili hivi kwa robo lita.
Pia madhara ni kama hakuna kwa sababu spirit ni kama pombe kali.
Wenu katika unukaji wa kwapa Red Giant.