Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Maelezo yako hayajitoshelezi, unamaanisha akismka breakfast iwe mtindi, lunch iwe mtindi na dinner iwe mtindi?,atapataje nguvu za kufanya kazi kama mwili utakuwa mtindi pekee?,alaf haujaonesha njia ya kutengeneza huo mtindi ili kuondoa hivyo vikorombwezo,
 
Maelezo yako hayajitoshelezi, unamaanisha akismka breakfast iwe mtindi, lunch iwe mtindi na dinner iwe mtindi?,atapataje nguvu za kufanya kazi kama mwili utakuwa mtindi pekee?,alaf haujaonesha njia ya kutengeneza huo mtindi ili kuondoa hivyo vikorombwezo,
mtindi wa kawaida kama unauzwa na tanga fresh au asas
 
Maelezo yako hayajitoshelezi, unamaanisha akismka breakfast iwe mtindi, lunch iwe mtindi na dinner iwe mtindi?,atapataje nguvu za kufanya kazi kama mwili utakuwa mtindi pekee?,alaf haujaonesha njia ya kutengeneza huo mtindi ili kuondoa hivyo vikorombwezo,
ndio na utakuwa na nguvu za kutosha kabisa maana kwenye mtindi kuna kiasi cha glucose ya kukutosha kuishi vizuri kabisa. unaweza kuchnganya na matunda na mboga za majani lakini maziwa kama maziwa yana kila kitu. unaweza kuchanganya ukihisi haushibi kabisa au tumbo linakuwa jepesi sana
 
Asante sana mkuu! Ili usichoke na mtindi asubuhi, mchana na jioni, unaweza kuchanganya matunda ndani ya mtindi, yaani iwe fruity yoghurt.
 
njia rahisi bila mazoezi ni kulikata tu hilo tumbo
hakuna namna,,,,
nje ya mada kidogo kuna mtu anajua njia rahisi ya kula chakula bila kula.,kama yupo anipm
Mkuu watafute wapare watakuelekeza
 
heshima kwenu wakuu na wageni na wanachama wa jamvi hili.
huu ni utafiti binafsi ambao umefanya kazi kwa wengi niliowaambia

kutumia maziwa ya mtindi kwa wiki tatu kama chakula chako kikuu bila kula mawanga mengine kama ugali, mihogo, wali, maandazi, chapati nk kunaondoa tumbo kubwa au tumbo mimba au kitambi.
sukari iliyopo kwenye mtindi ni kiasi kidogo kuliko wanga kamili

pia kwa wenye matatizo ya haja na mmeng'enyo mmbovu wa chukula, mtindi ni dawa. nakumbuka enzi za uhai wa babu yangu, chakula chake kikuu ilikuwa na mtindi na maziwa fresh yasiyo na sukari

onyo
ili uweze kunufaika na haya maziwa hakikisha huna kitu tunasema lactose intolarance disorder(samahani nimekosa neno la kiswahili hapa)
mtu mwenye hili tatizo anakosa enzyme inyotakiwa kutenganisha lactose
vyakula hivi pia vinaweza kumdhuru
  • Spinach.
  • Canned salmon or sardines with bones.
  • Calcium-fortified orange juice.
  • Raw broccoli.
  • Canned white tuna.
  • Calcium-fortified soy milk.
  • Dark green leafy vegetables.
  • Almonds.
na ukinywa maziwa baada ya masaa mawili utaona dalili zifuatazo
gesi kujaa tumboni
kutpika
kuendesha au kuharisha
Abdominal bloating, pain, or cramps. (maumivu ya tumbo)
Borborygmi (rumbling or gurgling sounds in the stomach)(tumbo kuunguruma)

asanteni
Mnahangaika bure. Njia rahisi ni kwenda kuchukua mkopo FINCA, au easy finance au BAYPORT. Tumbo litaisha lenyewe
 
Mimi niwe tu mkweli, nina kitambi fulani nataka kukimaliza sasa changamoto ni kuwa lile zoezi la kusukuma kitairi na kukivuta aisee nalichukia sana.

Sasa kila gym au trainer ninayempata lazima atafika hatua tu anakuja na kale katairi...mimi ikifika tu hiyo hatua hapana.

Nakachukia sana kale karingi yaani nikifika gym nikakakuta naweza geuka zangu narudi home.

Hivi hakuna namna naweza kata tumbo bila kutumia kale katairi mateso?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom