Bastille
Member
- Sep 7, 2018
- 12
- 44
- Thread starter
- #21
Thanks and Be blessed bro....Nilifika Embassy kuuliza hii issue wakanambia kama una sponsor hamna shida you just need to prove na wao wajiridhishe. Issue ya blocked account naifahamu but hawakunigusia, and i know two guys ambao wamepita bila kuulizwa hii blocked account.Heko kwa kufafanua vizuri mkuu. Ila Naomba nikuongezee kitu Muhimu zaidi walichofanya wajeremani ili kuziba mianya ya mabaharia wazamiaji kwenye hili Kwani wahindi, wapakistani, wabangladeshi, wanigeria walitaka kufilisi social welfare benefit ya mjeremani kwa kujifanya wanaenda masomoni kumbe walikuwa wanataka kuzamia tu.
Inajulikana wazi kwamba German education is dirty cheap with excellent infrastructure and world class facilities hivyo iliatract watu wengi kutaka kusoma German but wazamihaji wa kutaka kuishi na kuhaso tu walikuwa wengi kuliko Wakusoma. Hivyo wakaintroduce system moja makini sana ya kuziba mianya ya wazamihaji kupenya kiwepesi.
System hii iliwataka wanafunzi wote wenye vigezo kufungua kwanza "online blocked bank account" wakiwa nchini mwao ambayo hawatakua na total control nayo yenye jumla ya million kama 22 hivi za kibongo ambapo mwenye account anapewa access ya kutoa €650 kwa kila mwezi. Kwa hiyo mwanafunzi alitakiwa kubalance asitumie zaidi ya Euro 650 kwa mwezi. Na hiyo account unaifungulia online unadeposit hiyo pesa kwenye Deutsche Bank ya Germany then inablockiwa na unakuwa huna access na control ya moja kwa moja sababu awali wanaigeria walikuwa wanaazima hela kwa Mtu wanaingiza kwenye Deutsche Bank then wanapewa visa kirahisi afu wanazitoa hela zote na kurudisha walikozikopa na kwenda kuishia mitaani huko Berlin na kusumbua serikali ya ujeremani kwenye welfare support.
"By mandate, a student planning to study in Germany is supposed to prove that he/she can afford his/her stay in Germany for at least the first year of study. For this, the government has decided on a particular sum. As per the Federal State, a student is required to prove that he/she have access to at least 659 euro per month for the first year, or 7,908 euro total. This, in turn is done by means of opening a blocked account."
Pale embassy hawana shida wakipatiwa hii document from Germany Deutsch bank ikithibitisha mkwanja ushatumwa na umeblockiwa kitu ni fasta tu unapewa visa yako. Na hapa ndipo ugumu unapokuja kwenye kusoma Germany lazima uwe na mkwanja wako au wa mdhamini alisi na alietayari kukudhamini afu wao ndio waushike ndio usome bure unless husomi kwa mjeremani na utaendelea na kusoma VETA.
Hivyo tu!