Njia rahisi ya kuandaa bajeti yako

Dunia yakoo

Senior Member
Nov 23, 2019
139
214
50/30/20 Hii Ndio Njia Rahisi Zaidi ya Kupanga Bajeti Yako.
FB_IMG_1608762179819.jpg

Njia hii ilianzishwa na Seneta mmoja Marekani jina lake anaitwa Elizabeth Warren.

Elizabeth Warren alisema kwamba unapopanga Bajeti yako igawe katika Makundi 3 Makuu.

1) Kundi La Kwanza Ni 50%
Kundi la kwanza ni la kuweka kwenye Mahitaji / Needs.

NEEDS ni mahitaji ya muhimu ambayo huwezi kuishi bila hayo.

Mfano: Chakula, Mavazi na Kodi ya nyumba.

Ni muhimu kuhakikisa matumizi yako ya kila siku hayazidi 50% ya kipato chako.

Yakizidi, ki budget tunasema wewe umeanza kwenda kwenye HATARI.

2 ) Kundi La Pili ni 30%
Hii tunapeleka kwenye kitu kinachoitwa WANTS.

Wants ni mambo unayoyahitaji ila SIYO YA LAZIMA sana.

Unaweza ukaishi bila mambo kuwepo kwenye maisha yako.

Mfano: kila mwezi lazima ukaangalie Movie, lazima utoke Outing kula.

Ni vitu ambavyo unaweza ukavifanya ila sio vya lazima.

Ukitaka kujua tofauti ya Needs na Wants jiulize hiki swali.

Je Naweza Kuishi Bila Kukifanya Hichi Kitu?

Ukiona unaweza kuishi bila kukifanya Tafsiri yake hiyo ni WANT.

Maana yake unaweza kuisubirisha.

Ila kama huwezi kuishi bila kukifanya tafsiri yake inakuwa hiyo ni NEEDS.

3. ) Kundi la Tatu 20%
Hapa unafanya Saving unaweka Akiba, Uwekezaji wako au Unalipa madeni kwenye asilimia 20%.

Trick part ya hii budget iko hapa.

Ukiweza kupunguza 15% ya WANTS zako ina maana ile 15% ya Wants ukiipeleka kwenye Kundi la Tatu na kuliongeza kutoka 20% mpaka kufika 35% kwenye saving, uwekezaji au kulipa madeni...
.
...ina maana utakuwa unaeleka kwenye Uhuru wako wa Kifedha.
 
50/30/20 Hii Ndio Njia Rahisi Zaidi ya Kupanga Bajeti Yako.
View attachment 1657961

Asante kwa ujumbe was maana!!!
 
Back
Top Bottom