kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,307
- 12,600
Wakati tunasubiri ujenzi wa njia ya reli na upanuzi wa barabara ya Dar _ Chalinze kwa sasa tunaweza kupunguza msongamano kwenye kipande hiki cha barabara kwa kuyaamuru mabasi na magari yote yanayokwenda Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Mombasa yapitie barabara ya Bagamoyo hadi Msata na kubakisha tu yale yanayokwenda Chalinze, Morogoro, Mwanza, Mbeya na Lugoba hadi Msata tu. Hii nayo inahitaji agizo la Rais?