Njia pekee ya kumrudisha Lissu Nchini ni kumlipa stahiki zake zote za matibabu.

NJOGHOMILE

JF-Expert Member
Jun 11, 2017
657
1,868
Hekima na busara ni msingi katika kufanya maamuzi yatakayotoa matokeo chanya.

Kauli mbali mbali za vitisho za kumtaka Lissu arejee nyumbani kwa kisingizio cha kuwa hana kibali kuishi huko aliko haziwezi kumfanya ashtuke na arudi nyumbanj badala yake mnamuongezea machungu kutokana na jinsi mlivyomtelekeza bila kumpa stahiki zake za matibabu.

Njia pekee ya kumrudisha Lissu ni kumlipa stahiki zake za matibabu ndio ataweza kurudi na kuacha kuendelea kuzungumza kwenye vyombo vya habari vya ughaibuni.

Mliopo katibu na Ndugai mwambie aidhinishe stahiki za Lissu za matibabu, ataona Lissu atarejea nyumbanj na kuacha kuzungumza huko nje jambo ambalo si zuri kwa Taifa letu.

NB: Anayewahi kufika na msibani na kulia machozi mengi na kusaga meno ni yule aliyesababisha huo mdiba utokee.
 
Kurudi kwa Lissu hapa Tz itakua 'a Turning point' katika siasa ta Tz tuombe Mungu mda utasema tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..wamuombe radhi kwa MATUSI waliyomtukana.

..na wafanye UCHUNGUZI unaoaminika wa tukio lililomkuta.
 
Back
Top Bottom