Njia pekee ya kuiong'oa CCM na Rais Magufuli madarakani ni hii

ForeverMore

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
813
1,928
Ki ukweli, siasa ya nyakati za JK na hizi za JPM zimebadilika sana. Mambo si mambo, na kama upinzania wakiendelea kutumia plan walizotumia kipindi cha JK, watazidi kuwa na wakati mgumu. Maana JPM ni kama katupa kitabu cha zamani cha siasa na kuanza kuandika cha kwake.

Nadhani njia pekee ya kuiondoa CCM ni upinzania kubadili gia angani. Na maanisha hiki,
Ipo hivi Mhe. Mbowe au Zito Kabwe, waki waambia wabunge wao, wakusanye watatizo yalipo kwenye majimbo yao Mfano: Mhe Halima Mdee wa jimbo la kawe, alete ripoti, ya labda mapungufu ya walimu, madawati, madarasa na hali mbaya ya vyoo ya Shule ya Msingi Kawe A. Ripoti iliyoshiba kwa mfano wanafunzi 150 wa Kawe A wanakaa chini, au Kawe B inaupungufu wa walimu 12 wa sayansi ama Hospitali flani inaupungufu wa vitanda 42 na kadharika.

Then wanaiandikia serikali (wizara husika) wakiwapa taarifu na kutaka matatizo yatatuliwe. Then hapa ndo mchezo unaponoga.
Serikali wasipofanya, wanaweza kuita media au ku post kwenye social media kuwa wameiambia serikali kuhusu matatizo AB and C ya wananchi pamoja na ushahidi wa barua waliyotuma, lakini serikali wamefungia macho na haiwajali wananchi kama inavyodai.

Ina maana, Upinzani watakuwa na point kubwa mno yenye ushahidi ya kuilaumu serikali na wananchi wataona kabisa bila chenga jitihada wanazofanya kutatuza matatizo yao.

Serikali ikifanya, bado upinzani wanaweza jinadi kuwa wao wamepambana, usiku na mchana na kufanikiwa kuibana serikali mpaka wametatuta shida za wanaanchi.

Maana yeke ni kwamba
1. Vyovyote serikali itakachofanya, upinzania wanajibeba point na umaarafu kiulaini
2. Vikifanyika, wananchi tutaona na kupata maendeleo ya moja kwa moja tofauti na maendeleo CCM wanayo nadi kila siku ya Air Tanzania na Reli ambayo yes yatasaidia Taifa lakini haiendi moja kwa moja kutatuta matatizo tunayo ishi nayo mtaani at least kwa uharaka tunaotaka.

Hii itawapa uwezo, nguvu na kuongeza profile yao ya kuendelea kama siyo kuongeza idadi ya wabunge bungeni maana maeneo ambayo yataonekana wabunge wake hawa piganii wananchi ni majimbo ya CCM kwa kuwa hawawezi kukikaba na kukiaibisha chama chao wenyewe.

Na kama wakifanya kwenye majimbo ya CCM pekee, upendeleo utazidi kuonekana. Either way, upinzani watakusanya point.
 
We ni mgeni hapa bongoland? Umekuja lini, tume ya uchaguzi unateua wewe, hao police wamelala na je master plan wa wizi wa kura na kupora ushindi hawa tiss nao watakuwa wanakutazama tu.
 
hahahah,upinzani hata wafanye nini kwasasa ni ngumu sana wao kuchukua Nchi
kwan nani mpaka sasa wa wapinzani anaekubalika hamna
waendelee tu kuwa mashabiki😄😄
 
Bungeni ndo mahali pake, biyo ya narua sidjani lama inafaa
 
hivi wapinzani wanasubiri ccm iwaletee tume huru ya uchaguzi na free and fair election?
 
Wacha kukariri, tafuteni Sera mbadala siyo kupiga domo na kuongozwa na akina Akael Mbowe watu wasioweza kuanisha mageuzi/mapinduzi wanayoyataka.
Ki ukweli, siasa ya nyakati za JK na hizi za JPM zimebadilika sana. Mambo si mambo, na kama upinzania wakiendelea kutumia plan walizotumia kipindi cha JK, watazidi kuwa na wakati mgumu. Maana JPM ni kama katupa kitabu cha zamani cha siasa na kuanza kuandika cha kwake.

Nadhani njia pekee ya kuiondoa CCM ni upinzania kubadili gia angani. Na maanisha hiki,
Ipo hivi Mhe. Mbowe au Zito Kabwe, waki waambia wabunge wao, wakusanye watatizo yalipo kwenye majimbo yao Mfano: Mhe Halima Mdee wa jimbo la kawe, alete ripoti, ya labda mapungufu ya walimu, madawati, madarasa na hali mbaya ya vyoo ya Shule ya Msingi Kawe A. Ripoti iliyoshiba kwa mfano wanafunzi 150 wa Kawe A wanakaa chini, au Kawe B inaupungufu wa walimu 12 wa sayansi ama Hospitali flani inaupungufu wa vitanda 42 na kadharika.

Then wanaiandikia serikali (wizara husika) wakiwapa taarifu na kutaka matatizo yatatuliwe. Then hapa ndo mchezo unaponoga.
Serikali wasipofanya, wanaweza kuita media au ku post kwenye social media kuwa wameiambia serikali kuhusu matatizo AB and C ya wananchi pamoja na ushahidi wa barua waliyotuma, lakini serikali wamefungia macho na haiwajali wananchi kama inavyodai.

Ina maana, Upinzani watakuwa na point kubwa mno yenye ushahidi ya kuilaumu serikali na wananchi wataona kabisa bila chenga jitihada wanazofanya kutatuza matatizo yao.

Serikali ikifanya, bado upinzani wanaweza jinadi kuwa wao wamepambana, usiku na mchana na kufanikiwa kuibana serikali mpaka wametatuta shida za wanaanchi.

Maana yeke ni kwamba
1. Vyovyote serikali itakachofanya, upinzania wanajibeba point na umaarafu kiulaini
2. Vikifanyika, wananchi tutaona na kupata maendeleo ya moja kwa moja tofauti na maendeleo CCM wanayo nadi kila siku ya Air Tanzania na Reli ambayo yes yatasaidia Taifa lakini haiendi moja kwa moja kutatuta matatizo tunayo ishi nayo mtaani at least kwa uharaka tunaotaka.

Hii itawapa uwezo, nguvu na kuongeza profile yao ya kuendelea kama siyo kuongeza idadi ya wabunge bungeni maana maeneo ambayo yataonekana wabunge wake hawa piganii wananchi ni majimbo ya CCM kwa kuwa hawawezi kukikaba na kukiaibisha chama chao wenyewe.

Na kama wakifanya kwenye majimbo ya CCM pekee, upendeleo utazidi kuonekana. Either way, upinzani watakusanya point.
 
hahahah,upinzani hata wafanye nini kwasasa ni ngumu sana wao kuchukua Nchi
kwan nani mpaka sasa wa wapinzani anaekubalika hamna
waendelee tu kuwa mashabiki😄😄
Unamaamisha huyo atashinda kukiwa na tume huru? Ingekuwahivyo kwa jinsi anavyopenda sifa kesho tuu kungekuwa na tume huru !! Na angejitangaza kwa hilo dunia nzima na kichwa chake kingekuwa kinaelea juu juu kwa sifa!

Nina imani kama tume ni huru hata Mimi hapa nitamshinda tena kwa asilimia nyingi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom