Njia panda

sendisha

Member
Oct 11, 2012
26
0
mimi ni mwanajamii mwenzenu naomba msaada wenu wa kimapenzi ninja mpezi wangu ni muislam mimi ni mkristo tunapendana sana ila wazazi wake hawataki awe na mkristo sasa nifanyaje
 
sendisha dear.. siku ingine ni bora ukasema kuwa nina mpenzi wangu ninampenda saana. Hivi unajua the way mapenzi hayana adabu na wala hayasikilizi sababu? Mngekuwa mnapendana sana, hiyo ingekuwa sio issue.

Hapo sijaona ukizungumza mpenzi wako anasemaje, maana kama wazazi wanaingilia kati na mpenzi wako yupo tulii akilalama kwako kuwa wazazi wamekataa, ina maana kawaunga mkono na kwa maneno mengine penzi lake juu yako halipo ama halina nguvu la kukupa wewe kipau mbele kuliko wazazi wake.

BTW itapendeza saana ukisema kama wewe ni dada ama kaka? Itatoa majibu mengi saana.
 
Last edited by a moderator:
mimi ni mwanajamii mwenzenu naomba msaada wenu wa kimapenzi ninja mpezi wangu ni muislam mimi ni mkristo tunapendana sana ila wazazi wake hawataki awe na mkristo sasa nifanyaje

msaada wa kimapenzi au sijasoma vizuri!
we Kongosho hebu njoo unisomee hapa!
 
mimi ni mwanajamii mwenzenu naomba msaada wenu wa kimapenzi ninja mpezi wangu ni muislam mimi ni mkristo tunapendana sana ila wazazi wake hawataki awe na mkristo sasa nifanyaje

Dini zimeletwa na waarabu na wamissionary we oana nae tu ndoa ya bomani that sit.
 
alafu mitoto ya jakaya bwana...mnajidai oh twapendana na ishu ya dini mnaipuuzaga mpaka pale inapokuja kuwatokea puani. Dini ni kitu muhimu sana na nilazima uliangalie hilo kabla hujaingia kwenye mapenzi. honestly wazazi wapo sahii kabisa. wewe na mpenzi wako ndio mmebugi meeeeeen!!!!
 
mimi ni mwanajamii mwenzenu naomba msaada wenu wa kimapenzi ninja mpezi wangu ni muislam mimi ni mkristo tunapendana sana ila wazazi wake hawataki awe na mkristo sasa nifanyaje

Angalia hapo kwenye red kama kweli yeye ni wa mlengo huo achana naye kabisa atakumaliza huyo,isitoshe hapo alipo kaficha Majambia mgongoni huajayaona tu,na visu viiingi kiunoni,kuwa mbali na huyo mtu haraka!!
 
jinsia yako tafadhali.tuanzie hapo kwanza.nasubiri jibu huku nikipata gahawa chungu
 
Lazima uwe njia panda maana msimamo wa mwenzio uujui!
Jaribu kuongea na mwenzio!

mimi ni mwanajamii mwenzenu naomba msaada wenu wa kimapenzi ninja mpezi wangu ni muislam mimi ni mkristo tunapendana sana ila wazazi wake hawataki awe na mkristo sasa nifanyaje
 
mimi ni mwanajamii mwenzenu naomba msaada wenu wa kimapenzi ninja mpezi wangu ni muislam mimi ni mkristo tunapendana sana ila wazazi wake hawataki awe na mkristo sasa nifanyaje

Mkubaliane nyinyi wawili ni kitu gani mtaamua kufanya kama kweli mnapendana kwa dhati!!!!!!!!!!!!!!!
 
wew ni jinsia gani kwan??? anyways kama nyie wawili mnapendana kwa dhati wazazi watawaelewa haitakua rahisi trust me one day they will
 
Binafsi si muumini wa ndoa za imani mbili tofauti kidini.
Ushauri pekee ninaoweza kuutoa ni hakikisha unapata suluhu ya imani yako na mwenzi wako kabla ya hatua imayofuata.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom