Njia panda yangu...

Naibili

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
1,730
519
wakuu mwenzenu nina tatizo, kila kona nikipita naona mabango dawa ya kuongeza ukubwa wa uume, lakini sijabahatika kukutana na wenye uwezo wa kupunguza ukubwa wa uume, maana hilo hasa ndo tatizo langu, nimejaribu kuwatembelea wataalamu wa mitishamba nao wamekosa jinsi ya kunisaidia, maana mwenzenu kila msichana ninayetaka kufanya nae kale ka tendo wengi huwa hawakubali, wanaokubali hupatwa na maumivu makali baada ya tendo,
naombeni msaada wenu wa mawazo.
 
Hahahaaaaaaaaaaa!!! TINGA TINGA kwenye kinjia cha kupita na mguu LIMEFIKAJE!!!!!!!!? Hazina Hiyoooo, we unataka kuipunguza!!!!!!!! Ohooooo!!!!! TAFUTA MZUNGU!, WASHAZOEA HAO MANAKE HATA WANAUME WA KWAO MASHALLAH!!!!!!!!! Ushindwe mwenyewe tu kutumia ZIGO hilooo!!!!!!!!!

Abt HOW MANY INCHES ARE WE TALKING ABOUT!!!!!!!!!!? (Curiousty killed the cat)
 
Hahahaaaaaaaaaaa!!! TINGA TINGA kwenye kinjia cha kupita na mguu LIMEFIKAJE!!!!!!!!? Hazina Hiyoooo, we unataka kuipunguza!!!!!!!! Ohooooo!!!!! TAFUTA MZUNGU!, WASHAZOEA HAO MANAKE HATA WANAUME WA KWAO MASHALLAH!!!!!!!!! Ushindwe mwenyewe tu kutumia ZIGO hilooo!!!!!!!!!<br />
<br />
Abt HOW MANY INCHES ARE WE TALKING ABOUT!!!!!!!!!!? (Curiousty killed the cat)
hahahah umenifurahisha saana, tatizo kibongo bongo napata taabu
hayo mengine ni siri....
 
hahaha....wanawake hawataki kugegedwa na B kubwa lol...basi fanyia kwenye giza mwana...before she knows it kitu kimejaaa
 
Back
Top Bottom