Naibili
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,730
- 519
wakuu mwenzenu nina tatizo, kila kona nikipita naona mabango dawa ya kuongeza ukubwa wa uume, lakini sijabahatika kukutana na wenye uwezo wa kupunguza ukubwa wa uume, maana hilo hasa ndo tatizo langu, nimejaribu kuwatembelea wataalamu wa mitishamba nao wamekosa jinsi ya kunisaidia, maana mwenzenu kila msichana ninayetaka kufanya nae kale ka tendo wengi huwa hawakubali, wanaokubali hupatwa na maumivu makali baada ya tendo,
naombeni msaada wenu wa mawazo.
naombeni msaada wenu wa mawazo.