Njia panda, help pliz

bface

Senior Member
Dec 22, 2010
128
19
Jaman me na mchumba wangu my wife to be, kuna jamaa ambaye najua anamfuatilia na nishamwambia my girl kuhusu huyo people na kumuonya astop communicatn nae bt cha ajabu nikishika phone yake call list nakuta na ya huyo msela nikimwambia anadai ni normal friend nisihofu cha kushangaza mchumba wangu alikuwa anaumwa nikaenda kumuona kwao bt nikamkuta mshikaji ndani kaketi kaja kumuona, hapa nashindwa kuelewa is just friendship au coz nishamwambia astop mawasiliano bt they are stil, njia panda is she love him or friendship
 
Mwalimu wangu wa kiingereza sikuwa namuelewa vizuri darasani, inabidi nipashe upya ili nielewe hapo kwenye red!
 
Jibu unalo mwanangu bface sema hutaki kulikubali. Hawa wawili wana kitu kinachoendelea. Huenda huyo binti ni kiruka anayetaka kula huku na kule. Pia huenda ameona udhaifu wako kuwa unamhitaji kuliko anavyokuhitaji hivyo hana haja ya kuachana na huyo mtu wake ambaye wewe unamwita people. Ila mwanangu kiingereza ulichotumia ingekuwa bora kama ungeachana nacho maana hakifikishi ujumbe licha ya kukuonyesha kuwa hukipati. Ni ushauri tu.
 
hahha mwana hapo jamaa anamega huyo yupo na wewe for another reason but she still digs the guy. count ur loses now or just turn her into a sexmate tuu.
 
Mwanaume neno lake moja tu,la pili linafuatana na maamuzi magumu,mwambie kama anaendelea kuwasiliana na jamaa then ww huwez kuendelea naye..jiamini kaka hao wachumba wako kibao
 
Umesema vyema... Kama ana utashi ata chukua hili
 
mbona hii stori huyo jamaa kama vile mimi, maana yote uliyosema yameshawahi kutokea, tena ushawahi nipigia simu...., alafu alipoumwa nilimpelekea zawadi ila wewe hukupeleka kitu...
tuyaache hayo ndugu... ushauri mwambie achague kati ya huo urafiki au mapenzi yenu
 
I like it, thanks Mzee
 
Kwanza wewe umejuaje anafukuziwa?
Lakini ukweli ni kuwa hata kama sio wapenzi kuna emotional cheating. Inawezekanaje wakawa wanawasiliana kila siku? Na akiumwa anawataarifu nyote muende? Fanya maamuzi magumu. Inawezekana wakawa ni marafiki wa karibu tu, lakini ukaribu wao ni zaidi ya ukaribu wako na yeye. They click na wanafurahia company yao wenyewe. Kama huwezi kuwa karibu na huyo dada zaidi ya jamaa, labda humfai. Mmeamviwa wote kuhusu ugonjwa, lakini mwenzio kafika kabla yako, that might be telling you something!
 
Naona siku hizi wanaume ndio wanauzwa zaidi kuliko wanawake, kweli dunia inabadilika na inaenda kwa wakati....
 
Kwanza wewe umejuaje anafukuziwa?
Lakini ukweli ni kuwa hata kama sio wapenzi kuna emotional cheating. Inawezekanaje wakawa wanawasiliana kila siku? Na akiumwa anawataarifu nyote muende? Fanya maamuzi magumu. Inawezekana wakawa ni marafiki wa karibu tu, lakini ukaribu wao ni zaidi ya ukaribu wako na yeye. They click na wanafurahia company yao wenyewe. Kama huwezi kuwa karibu na huyo dada zaidi ya jamaa, labda humfai. Mmeamviwa wote kuhusu ugonjwa, lakini mwenzio kafika kabla yako, that might be telling you something!
sisemi neno mie!jamaa astuke tu!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom