Njia nzuri ya kutahiri watoto wachanga

Steven Robert Masatu

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
2,458
1,821
heloooow!!!!!!!!!!
habari zenyu bana

wanajf naombeni msaada wa njia nzuri ya kumtahiri mtoto wa miezi minne kati ya hizi apa chini>..

1,.kwa kutumia ring
2 kwa njia ya kawaida ya kukata. hapa najua tunaelewana kwenye hii njia ya kawaida ambayo sisi watoto wengi wa zamani tumekuwa tunatahiriwa,
 
sikushauri hiyo ya ringi, ni wengi wanalalamika sio nzuri inaweza kumuacha na maumbile mabaya, tumia ya kawaida..
 
Kwa nini muwatese watoto kwa kuwakatakata miili yao? Kwa nini msiwaache wakawa kama kule kwetu Rorya, Natural condom kwa kwenda mbele!
 
sikushauri hiyo ya ringi, ni wengi wanalalamika sio nzuri inaweza kumuacha na maumbile mabaya, tumia ya kawaida..
<br />
<br />
nashukuru kwa ushauri bro hizi habari za ringi nahisi ni utata sana, ntafuatilia ushauri wako mzaz.
 
Mitaani wanakwambia ukimtahiri mtoto akiwa mdogo akikuwa anakuwa na kibamia. Mimi sitake risk nawatahiri wakifika two year kwa njia ya kawaida.
 
Hii ni thread ni nzuri bandugu kulingana na unyeti wake.
Mimi kuna Dr alinishauri nisimtahiri kijana wangu hadi atimize miaka miwili na kuendelea na kutahadharisha kuwa kuna watoto wanatahiriwa then wanalazimika kutahiriwa mara ya pili kwa sababu tofautitofauti (imagine kurudia kitendo kile).
Wengi wanashauri kuepuka ring na ku'opt ya pili.
Naomba tujuzane ni wapi huduma hii inapatikana kwa ustadi zaid, kuna mwanajf mmoja kanishauri kwenda upanga.
 
Labda kuna bamia natural na man made. Bado nachukua tahadhari. Mwanangu nilimtahiri na miaka miwili regency hospital na it only took him a week or less to recover. Kwa nini ukaumize kachanga kako. Kumbuka anapigwa kaputi. Sasa nambie four month afu apigwe hayo madawa. Sijafanya hivyo bado. Hata doctor aliyemfanyia hiyo kitu mwanangu alinambia yeye mwenyewe watoto wake anasubiri wakue kidogo.
nakumbuka ilikuwa ni darasa la sita wkt nikifanyiwa hii lkn bado nina kabamia
 
sikushauri hiyo ya ringi, ni wengi wanalalamika sio nzuri inaweza kumuacha na maumbile mabaya, tumia ya kawaida..
<br />
<br />
Ucmdanganye mwenzio ww! Ya kiringi ndio safe zaidi na haina tatizo lolote!
 
ushauri wa nyumba kubwa nona umenistua kidogo.,
suala la kutahiri mimi nilikuwa sihitaji kwa sasa hivi ila wife naona analazimisha sana yani. kabla nikaona nipate ushauri wa doctor wa jf nadhani itabidi nitumie hii njia ya tatu ambayo ni kusubiria akue kidogo walau miaka miwili.
doctors tujadili hii topic sababu naona inagusa wengi humu ndani ambao ni member na sio member.
 
Furaha ya mwanangu ni yangu. Si unaona wenye vibamia wanavyohaha kuomba ushauri. Asije nilalamikie kuwa nimechangia kuwa na kibamia. Haya mambo ya kutahiri watoto wachanga yameanza siku hizi; mi ndugu zangu walitahiriwa sijuhi darasa la pili vile.

Teh teh teh Nyumba Kubwa bana...kwa akiwa na kabamia wewe inakuhusu?
 
Kuna doctor mzuri wa muhimbili anafanya part time regency ndiye aliyemfanyia mwanangu. Huwezi amini mwanangu alirudi nyumbani na kuanza kucheza same day ni sisi tulikuwa tunamzuia asije kujitonesha; ila wala hakulia. Sikumbuki jina ila ni bingwa wa upasuaji ukienda pale we waulize wataku recommend kwake kwani ni regency receptionists walionambia sifa za huyo doctor.

Back
Top Bottom