Njia nzuri ya kupokea malipo yako toka ebay ni ipi?

Kwa uelewa wangu ili uwe seller ebay ni lazma uwe trusted and verified na kampuni mbili ebay yenyewe na paypal kwaajili ya malipo.

Too bad hapa bongo paypal inaruhusu malipo(purchase) tuu pekee.
lkn achana na hvyo mziki upo kwenye kukushawishi wewe wakuamin na hako kaitem kako kamoja unakotaka kuuza. ebay ain't be like kupatana dot com
 
Back
Top Bottom