Njia nyepesi ya kupata mke mwema

Tanzania naamini bado hawajaisha acha nisubiri wadau watawataja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio Tanzania tu bali popote duniani, atakaye kuwa na hizo sifa zote atakuwa ni mkamilifu, sasa kuna mwanamke mkamilifu?, lazma utamkuta na baadhi na baadhi hana so inabidi kuvumilia.

Na ingekuwa hivyo basi ndoa zisingekuwa zinavunjika.
 
Zunavunjika sababu Tunda lilishaliwa kimasihara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom