Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,781
- 3,074
- Thread starter
- #21
Wewe naye mbumbumbu kumbe hujui lolote... Hebu Google uone matajiri wa dunia wanavyopreach kuhusu unavyoweza kufanya na ukawa tajiri kama anavyozungumzia mtoa mada... Warren Buffet,Bill Gates, wote wanatoa sana hayo mafundisho na a lot more inspirational speech... Watu mnaelimishwa mnaleta kujua wkat hamna mnachojua..
Mkuu usipoteze muda wako ku argue na mtu anayeandika coment za aina hizi. Mara nyingi ni watu ambao maisha yamewapiga na hawajiamini wala kuamini chochote wanachoambiwa.
Mwambie amwongeze na huyu kwenye hiyo list;
Richard Branson, anamiliki makampuni zaidi ya 400, na bado anaandika vitabu, ana blog na huwa anatuma makala kwenye mtandao wa entrepreneur.com