The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 20,851
- 60,914
Ndio unaweza But mimi nimejilita kwenye issue ya imani ya dini,huwezi kumlazimisha mtu aamini imani ipi.Ukiona mlevi anaathirika na afya yake mwenyewe kwa sababu ya pombe si ni vema kumwelewesha apunguze kulewa