Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 17,583
- 38,551
Serikali yako inakusanya kodi hapo bado kuna pombe .Unaweza kumkataza ntu kuvuta sigara, ili aishi maisha marefu.
Wakati kwa huyo mtu, kuishi maisha marefu bila kuvuta sigara maisha hayana maana.
Hivyo anaona ni bora aishi maisha mafupi matamu, kuliko maisha marefu ambayo hayana utamu.
Ulifanya sawa kumpa kitu anachotaka.
Mara ngapi watu wanakatazwa kuzini ila bado wanaendelea tena wewe ni mmoja wapo.
Sheria zipo na kila mtu anaweza kufauta anachotaka ndo uhuru .