njia gani nzuri ya birth control

njia ya uzazi wa mpango inategemea pia na matarajio yako ya siku za usoni. kutumia condom kama mnaweza kuwa na discipline hiyo ikisaidiana moja kwa moja na kalenda is the best way japokuwa inaweza kuwa na ajali. lakini ya pili ni kutumia loop/kitanzi ambayo ni physical barrier. ila kama ni muoga,wazo la kuwa unatembea na kitu mwilini linaweza kukufanya usiwe comfortable. pia kuna spermicide, ambayo huua sperms kabla ya kufika kwenye cervix.
ni vizuri ukaonana na wataalamu,ukawauliza maswali yote kuhusu kila njia, madhara yake, na mafanikio yake pia. japokuwa sikushauri kutumia njia zinazohusisha hormones interferance kwani huwezi kujua mwili wako utarespond vipi kwazo.

sorry unlucky, inanitokea mara chache lakini naona kama jina lako linaweza kukusababishia kujiskia huna bahati na kukuondolea ujasiri wa kunyakua baraka zako. unaonaje ukawa chanya zaidi hata hapa jf? dont mind me, trust ur guts

Hiyo kwenye nyekundu nakubaliana na wewe mia kwa mia. Watu huwa hawajuwi kuwa majina huwa yana positive na negative efffects kutokana na jina lenyewe katika maisha ya mhusika. Anaweza kufikiri kuwa ni jina la bandia tu hapa JF lakini liko moyoni mwake na anaamini hivyo na hivyo ndivyo huwa.

ipo, wanakata mirija ya sperm. it is irreversible lakini, bt with the current science, artificial impegnation is possible nadhani. unataka umdhibiti?
Hivi hakuna njia kwa wanaume.Zaidi ya condom

Unapiga kitu ikikaribia unakojoa nje. Ha ha ha inahitaji moyo laasivyo unaweza kuleta lawama

Natural birth control kwangu mimi ni zaidi lakini lazima uwe na strong will au utashi imara!

coil ni nzuri kwani unaweza kaa nayo kwa miaka hadi mitano, na kama ukibadili mawazo ya kutaka mtoto unatoa tu. haina madhara yoyote. unakuwa confortable wala u dont feel anything. uamuzi ni wako!

coil ni nzuri kwani unaweza kaa nayo kwa miaka hadi mitano, na kama ukibadili mawazo ya kutaka mtoto unatoa tu. haina madhara yoyote. unakuwa confortable wala u dont feel anything. uamuzi ni wako!

asante hiyo coil ndo ile vijiti vinavyowekwa mkononi na watu wengine wanasema eti unanenepa sana na pia unableed sana eti kweli na kuna ya miaka mitano pia mie nimesikia miaka mitatu,je ni hospitali gani wanahusika na vitu hivi lakini wawe hodari

ipo, wanakata mirija ya sperm. it is irreversible lakini, bt with the current science, artificial impegnation is possible nadhani. unataka umdhibiti?

Ndiyo Bwana nimechoka na kupigiwa cm na kuambiwa"nimezaa na mmeo"

Hii mambo ya birth control ilipigiwa sana debe karne ya ishirini na kina Margaret Sanger, Otto Bobsein na Marie Stopes...uko Uingereza na Marekani... Matokeo yake nchi kama UK inategemea sana wahamihaji kuendeleza uchumi wa nchi zao... wenyeji wamebakia kulea paka na mbwa tu.

Tumia njia ya asili ndio salama zaidi kuliko hizi zingine zote
Katika mzunguko wa mwanamke tarehe za mimba ni wastani kama 6 hivi, u can hold it

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom