Je, ni njia gani inatumika kusafisha tumbo?

Na ukitaka kufunga inakuaje
Harisha kuanziq asubuhi hadi jioni huku unakunywa maji yenye chumvi na sukari kurrplace yale unayoyaharisha. Then jioni chemsha majani machanga ya mpera unywe juice yake na kinyesi chako kitarudi kawaida.
 
Wakuu.....
Nimetoka kununua hivo vimbegu vya Habat Mulk (buku tu)
Ndio nimefika ghetto nataka kukatafuna kapunje kamoja... Nitawapa Mrejesho...
Maana jana nimetengeneza Juice ya Ukwaju nimekesha nakunywa lakini hamna kitu
Sijui ndio M.kundu wangu utakua umeziba kubabake... Nitawapa Mrejesho wakuu..

upload_2017-10-11_9-48-13.png
 
View attachment 606893
mrejesho vip mkuu au ulisahau kuunganisha extension mpaka toilet
 
Mi nachukuaga mpira wa maji nafunga kwenye koki Kisha najiingiza nyuma nayafungulia yanaingia Kisha nachomoa then fresh nasafishika poooa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom