Je, ni njia gani inatumika kusafisha tumbo?

Menya kitunguu swaumu kizima kisha kitwange na ukiache kwa dakikakumi baada ya kutwanga,kisha weka maji ya vuguvugu kijiko kimoja kwenye huo mpondo then chota kijiko kimoja ule,, mziki wake unaua minyoo yoteeee na unasafisha tumbo ndan ya siku moja ila tu harufu itakua inakukereketa
 
njia rahisi
asante mkuu
 
Hivi mnachanganya mambo hapa kwani kuharisha ndio kusafisha tumbo? kama ndio hivyo wagojwa wa kipinduapindua wangekuwa wasafi mpaka basi?

Msije mkaleta mambo ya kienyeji kukangua utumbo ukadhani unasafisha kumbe unaondoa mucus muhimu inayosaidia utumbo usiwe digested na enzymes.

Msije kuharisha vitu vyeusi na mlenda mlenda baada ya miaka mkaja hapa mnatafuta dawa ya vidonda vya tumbo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom