Njia Bora zaidi Ya kupunguza Tumbo La Mimba.Baada ya Kujifungua.

Z kama Z

Member
Jul 6, 2011
60
10
Hi wana Jf wote
Namshukulu Munguu Wife Kajifungua salama ka baby Gal
Sasa kuna swala mOja nataka kujuzwa jinsi Bora zaidi ya kupunguza lile tumbo la Mimba
 
Jitahidi kupata vyakula laini kama mchemsho wa ndizi na nyama za kuku au samaki, halafu pia funga kitambaa au kanga around....zungushia tumbo fundo unaliweka mgongoni, fanya mazoezi mepesi ya tumbo kila siku na epuka kula zaidi mafuta (fats) na carbohydrates
 
Litapungua tu lenyewe with time, mwache mama ale vyakula vya kurutubisha maziwa ya mtoto. Haya mambo ya shape na figure yatakuja baadaye, nadhani afya ya mtoto ni bora zaidi kuliko shape ya mkeo kwa sasa.
 
Hi wana Jf wote
Namshukulu Munguu Wife Kajifungua salama ka baby Gal
Sasa kuna swala mOja nataka kujuzwa jinsi Bora zaidi ya kupunguza lile tumbo la Mimba

Mkande na maji ya moto kisha unamfunga tumbo na khanga au kitenge
Hongera kwa kupata mrembo
 
Fanya Mazoezi lasivyo shemeji atakukumbia na hiyo mimba yako usitozaa mtoto. Hivi Nyie watanganyika kuwa na mitumbo mikubwa kama Komba au Wassira ndio mmeona fashion?
 
Mazogola, Hongereni Sana. Baada ya mwanamke kujifungua, kupungua kwa tumbo na hata kurudia kwake katika hali ya awali hutegemea na maumbile pamoja na chakula ambacho mzazi atakula wakati wa kunyonyesha. Tumesikia jinsi ambavyo beer zinaleta kitambi, hali kadhalika, mama mzazi akilishwa vyakula vyenge wanga zaidi na mafuta basi tumbo lake litaendelea kubaki kwenye hali hio kwa kipindi mrefu, na wengi wao kushindwa kabisa kurudia hali ya awali. Unaweza pia uka - google na ukapata mawazo tofauti ya research mbalimbali kwa vyakula vinavyofaa kwa wamama wanaonyonyesha. Ila kwa ushauri tu, si vyema ukaanza kumchanganya na maswala ya tumbo kupungua katika kipindi hichi ambacho mtoto bado ni mdogo...wanawake wengi siku hizi hawayapendi hayo matumbo na nina amini kuwa muda wake ukifika, ataanza kulishughulikia kisawasawa:wink2:
 
...Hongera sana Mkuu. Akishapata nguvu ajaribu kufanya mazoezi kama sits up labda hata 40 kwa siku kama ataweza (20 asubuhi na nyingine jioni) huwa zinasaidia sana.
 
Hongereni sana! Ajitahidi kunywa maji kwa wingi, aendelee kunyonyesha. Pia kutembea nako kunasaidia..
 
kunywa mafuta ya ubuyu yanaondoa KORESTRO sijui nimepatia spelling, pia yanaondoa takataka zisizoitajika mwilini
 
Hlo lckupe tatzo, hupungua jenyewe automaticaly na wala hakuna dawa, it take kama wki 6 tumbo kurud kwene hal ya awal, ila ukiona halijarud after6 then muone daktar mana yaweza kuwa failed subinvolution ya uterus au sepsis, mpe mda wa kupumzka mkeo,anywe maj meng,juice, matunda, na ale vzur, pia ucfanye naye ngono ths time mpaka 6 weeks zpte.
 
Back
Top Bottom