Njia bora ya kupunguza uwezekano wa kupata ngoma kwa mwanaume mwenye wapenzi wengi

sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,283
976
Kama umeona njia kuu sio dili, maana njia kuu yako mchepuko wa mwingine, basi hakikisha hugongi demu mmoja mara mbili.. One night stand ndio mpango.

Ukigonga dem mara moja utavaa helmet ila mara ya pili na kuendelea huwezi vaa mazee.. utajifanya we ni dereva mzuri ushazoea barabara.
 
Utawagegeda wangapi mkuu
 
Why don't you preach abstinence and The Lord might have mercy on your sinful soul??
 
sasa.jpg
Lols, You can't be serious.
 
Yani thread zako zote zimekaa kuhamasisha ngono tu.

Sasa nahamasishaje mkuu?? Nilichokisema ndio ukweli uliopo.. tusiongelee utakatifu ingali tupo duniani... Haya ndo hufanyika huku mtaani... Au mkuu we ni "mlokole wa duniani"??
 
Back
Top Bottom