NJIA BORA YA KUMSHAWISHI MTANZANIA WA KIJIJINI KUELEWA UBAYA au UZURI WA CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NJIA BORA YA KUMSHAWISHI MTANZANIA WA KIJIJINI KUELEWA UBAYA au UZURI WA CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by tzjamani, Oct 11, 2010.

 1. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Naomba kujua njia bora ya kumshawishi mtanzania hasa wa kijijini ambaye hajui nini chanzo cha umaskini wake ili aweze kuchagua mabadiliko. Kumbuka inawezekana wengi hawajui maana ya ufisadi wala nani kafisafi nini. Hajui kama Tanzania ina rasilimali za kutosha kuwa na maisha bora kwa kila mtanzania.
   
Loading...