Njia bora na salama ya kuhifadhi mabomu Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njia bora na salama ya kuhifadhi mabomu Tanzania

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jackbauer, Feb 28, 2011.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kuna mdau ametoa mapendekezo, ili mabomu yawe katika hali ya usalama zaidi ni bora kuhamishia ghala kuu la silaha pale kwenye viwanja vya ikulu, hapa ulinzi na utunzaji wa silaha utakuwa ni wa hali ya juu.

  Wadau toeni ushauri zaidi juu ya utekelezaji wa suala hili.
  Nawasilisha...
   
 2. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  eti wap ikulu duu! Sasa na yale magorofa posta itakuwa vp? Ikulu mabomu duuh?
   
 3. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu unazo season 1,2 na 4 za 24? Ila 2krudi ktk issue yetu ya Ikulu.hasara zitakazoletwa na mafisadi zitakuwa kubwa watayalipua makusudi na ukarabati wake lazima wataongeza 0 ktk hela ya kuikarabati ikulu.
   
 4. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,231
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Huku sitii neno...ni ukweni!
   
 5. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  umakini utakua wa hali ya juu.IKULU ndio saafi kwanza amirijeshi mkuu atakua nayo karibu.
   
 6. Ney wa Barca

  Ney wa Barca JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hapo ndio safari zitaongezeka, dhumuni kuu likiwa ni kukimbia yasijekuwalipukia!
   
Loading...