Njia BOMBA za website monetization kwa hapa kwetu tanzania

mdeesingano

Member
Aug 12, 2008
65
19
Wanajamii, leo nimeona nije na mada moja ambayo nawaomba tuambiane NJIA ZILIZOPO ZA ku-MONETIZE WEBSITES zetu kwa hapa tanzania...

HAKIKISHA NJIA UNAYOIANDIKA NI ILE AMBAYO TAYARI INATUMIKA HAPA TANZANIA (Tafadhali usiweke njia iliyopo huko ulaya ila haijaanza kutumika hapa kwetu tanzania). Pia eleza website ambamo njia hiyo inapotumika!

This will help us tanzanians to do blogging both as a hobby and a money making activity!

Kwa kuanzia mimi nafahamu:

1. Banner advertising mfano kwa michuzi, hapa jamiiforums,

2. Affiliate programs mfano kwa jigambeblogs.com

3. Adsense za google zipo kwenye blog kibao za hapa kwetu

IONGEZEE LIST TAFADHALI...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom